Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Jana nilikula bakuli 4 za maharage.Demu wng akanipgia cm kunialika dinner home kwao,nikaenda.Nlipofika akanikumbatia kwa bashasha vile hakuamini km ningeenda,akaniambia "fumba macho,nna suprise kwako!".Nikafumba,akanifunga kitambaa cheusi usoni halaf akaniongoza had sebulen kwenye kiti.Mara cm yake ikaita chumban,akaniomba aende kuipokea ila akanisisitiza nisifungue kitambaa.Akaenda kupokea cm.Yale maharage nilokula yakanikoroga tumbo,likajaa gesi.Nikajibinua kwa kushoto nikapunguza gesi kidogo.Harufu ilikuwa kali,nikachukua leso mfukon nikapungapunga hewa kupunguza harufu huku nikiwa makini kusikiliza mazungumzo ya cm chumban.Nikajibinua kwa kulia nikaachia makombora matatu ya kimya kimya.Harufu ilikuwa mbaya zaid ya kabeji na maharage yalochacha.Nikachukua leso nikapukuta pukuta hewa.Mara simu ikakata huko chumbani,dem akaja,akaniuliza "hujafungua kitambaa kweli?",kwa sura isiyo na hatia nikamjibu,"hakyamungu sijafungua".Akanifungua.Ghafla wageni 12 akiwemo baba na mama yake wameketi huku wameziba pua!!
 
Nipo kwenye daladala hapo sasa gari imezima ghafla, kuna abiria amesuggest kuwa konda amejamba [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Uliact kama Mr Bean
 
Nimetoka kuvuta bangi kwa kutumia karatasi ya dictionary sasa ivi naona kama inflontorious equilvatendental evdenciazactal factoriality TUNAELEWANA?[emoji3][emoji3][emoji3]
 
*Tangu nizaliwe sjawahi kuona mke wa rais akiwa na mimba wewe umewahi kuona wapi*?
[emoji962]‍♂[emoji855]
Hahahahhhhh kweli man au sis sio wafuatiliaji? Lakn inawezekan marais weng huupata tayar umri mkubwa bhan miaka 50 kuendelea.
 
nimeingia bafuni na mke wangu akanambia nimfanyie kitu hajawahi fanyiwa

me nikampaka sabani ktk macho saiz yupo analia tu, hatuongeleshani wala nini

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]​
 
Muuza maziwa kaja kunigongea mlango asubuhi mapema na kuniambia leo ana maziwa mazuri sana, nikamwambia nipatie lita 5, wakati ananipimia ile kuyacheki nikakuta maziwa kama yana mafuta ikabidi nimuulize;
Mimi: Hivi haya maziwa si itakuwa ya ngombe jike?
Muuzaji: Inawezekana kabisa ikawa hivyo, ulijuaje?
Mimi: Si nimeona yana mafuta
Muuzaji: Itakuwa ya ng'ombe jike haya, hata mimi nimeona

Alipoondoka ndio ikabidi nicheke tu maana kumbe sote tulivuta bangi asubuhi.
*hakuna maziwa ya ngombe dume[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23] [emoji23] duuh
 
siku kama ya leo sio lazima sana kuoga ila wale wanaojifanya kujua usafi ndo vimbele mbele wa kuoga leo

sisi tunaojua umuhimu wa afya tunawaangalia tu 😵

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]​
 
wanaume wenzangu yaliyowakuta kwa RC Makonda hebu nambieni namba yake inaishia na ngapi......tupendane

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]​
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…