Hahaha [emoji23][emoji23]Leo Kwenye Basi Kuna Wadada Wawili Walikua Wanagombaniana Seat Moja, Dereva Kwa Hasira akasema "Mwenye sura mbaya ndo akalie hiyo Seat" Yani mpaka tunafika Wote Wawili Walikua Wamesimama. Kuna Madereva Wana Hekima Kama Mfalme Solomon [emoji3][emoji23][emoji23]```
[emoji3][emoji3][emoji4] angejua huyo nguruwe ni nan....RAFIKI: Vipi mbona leo huna uchangamfu
JAMAA: Wanawake bwana, mwanamke hata umpendeje atakugeuka tu
RAFIKI: Nini tena ndugu yangu? Mbona shemeji mtu fresh sana
JAMAA: Hata mimi nilikuwa najua hivyo, leo nimegundua kumbe ana siri kubwa sana ananificha, mi naita huu ni usaliti wa ndoa.
RAFIKI: Nini tena?
JAMAA:Nimegundua mke wangu kumbe anafanya biashara ya kitimoto na hajawahi hata kuniambia
RAFIKI: Kitimoto? We umejuaje?
JAMAA: Leo asubuhi nilichelewa kuamka niliamua nijipumzishe kidogo kabla ya kwenda kazini, simu ya mke wangu ikalia, nikaamua kuipokea, kabla hata sijafungua mdomo, nikasikia sauti ya mwanaume mmoja akauliza, โHuyo nguruwe umeshamuondoa?โ
Ahhh!!!! [emoji3][emoji3][emoji3]Jamaa kaamka asubuhi sana Jumamosi, mvua inanyesha kang'ang'ania kuwa anaenda ofisini. Kawasha gari yake, kufika njiani hali ilikuwa mbaya kaamua kurudi. Kafika home kavua nguo kaingia tena kitandani, kamnong'oneza mkewe aliyekuwa usingizini; "Yaani hali ya hewa huko nje mbaya sana" Mke: Si ndio nimemshangaa huyu mpumbavu eti kaenda kazini...