Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

[emoji2][emoji23][emoji23][emoji4]
 
Behind every satisfied woman there is very tired man
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtu yoyote aliyepiga kura 2015 akachagua maisha haya mkimwona anataka kujinyonga mkamateni mumfikishe polisi asitufanye sisi wajinga eti sisi tubaki halafu yeye afe ayakimbie....nooooo![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kitambo tukiwa watoto ulikuwa unaitwa uje ule kwa lugha tofauti kulingana na chakula kilichopikwa siku na muda husika 1. UGALI NA KUNDE Mwitaji : 🗣Joniiiii Mwitikiaji : Eeeh Mwitaji : Uje ukule 2. UGALI NA SAMAKI Mwitaji: 🗣 we Joniiii Mwitikiaji : Eeeh Mwitaji : Unaitwa na Mama 3. WALI NA NYAMA/KUKU Mwitaji: 🗣 Joniiii Mwitikiaji : Eeeh Mwitaji : Shauri yako! 😂😂😂😂😂😂
 
NUKSI NI NINI??😂 NUKSI NI PALE UMEAGA KIJIJINI KWENU KUWA UNAENDA MJINI KUISHI KWA DADA YAKO NA UTAKAA MIAKA MINNE ILE TU UNAFIKA UNAMKUTA DADA YAKO NDO ANAFUNGASHIWA VYAKE HATIMAE UNARUDI NAE KIJIJINI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dokta alikuwa anakwenda kuwinda hivyo akamuachia majukumu assistant wake Jason. Dokta: "Jason nakwenda kuwinda hivyo majukumu yote ni yako na angalia wagonjwa wote!" Jason: "Ndio mkuu!" Baada ya kurudi dokta akamuuliza vp mambo yalikwendaje kwa Jason.. Jason: " Nliwashughulikia wagonjwa wa3! Wa1 kichwa kilikuwa kinamuuma nikampa panadol" Dokta: "Safi sana na wapili?" Jason: "Wa2 alikuwa anaumwa na 2mbo na kama linavuruga alisema, nikampa flagyl" Dokta: "Bravo, wee safi sana na wa3 je? Jason: "Dokta nlikuwa nimekaa ghafla mwanamke akaingia na akavua nguo zote akabaki mtupu na akalala kwenye meza. Akapanua miguu na kupiga kelele nisaidie dokta kwa miaka mi5 sijamuona mwanaume! Dokta: "Mungu wangu na ukafanyaje sasa?" Jason: "Nilimuwekea dawa ya matone kwenye macho yake!"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Majina ya kukwepa kuitikia Msimu huu wa krismasi na Mwaka Mpya: Ukisikia mtu kakuita hivi, usiitike na usijaribu ku-smile hata kidogo, utakuja kinishukuru baadae!! 1. Mkubwa 2. Tajiri wangu 3. Boss wangu 4. Kiongozi 5. Mkurugenzi 6. Manager 7. Chief 8. Brigedia General 9. Honey 10. Dear nikuambie kitu..? 11.Mutu Ya Nguvuu 12.Mzee 13.Patroo 14. Kaka mukubwaaaaaa 😂😂😂😂 Bro Kimbia tena kama hiyo 9 na 10 usigeuke hata nyuma!!
 
Jana usiku kuna Jirani yangu..kanitumia text "mambo vipi?"…halafu tunakaa nae mtaa mmoja nikaona nikimjibu ni uharibifu wa hela nikaenda kumgongea mlango saa 7 usiku. Alipofungua nikamjibu "shwari"halafu nikarudi nyumbani kulala zangu.. Sipendagi kuchezea salio..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
TOFAUTI YA UKOPAJI, MZUNGU NA MSWAHILI: MZUNGU: Hi, I need $100, will pay back on Monday MSWAHILI: Kaka vipi, shwari? Dah.. hatuonani mzee, mishe vipi, mnatunyima nini? Juzi nimekuona kwa mbaaali… mzee shavu dodo, full kipupwe! Sie tupo bwana, shida tu, afu misiba mingi tu, wife nae kajifungua ghafla. Sasa, kuna cheque naisubiri haijatoka hadi leo, wanasema itatoka next week, hapa nimekwama kweli. Naweza pata 'Laki Moja' ya karibu hapo nitarudisha mwisho wa mwezi…?
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji2]
 
hahaha [emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji23] pastor ameona mwenyewe maneno alikua anatumia yanaogofya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…