Mwalimu wa chekechea kawatoa wanafunzi wake nje...
Mwalimu:Angalieni juu, mnaona nini?
Wanafunzi:Mawinguuu!!!
Mwalimu:Vizuri, kingine je?
Wanafunzi:Hamna kingineee!!
Mwalimu:Je, mungu mnamuona??
Wanafunzi:Hatumuonii
Mwalimu:Sasa tutaaminije?, me ninawaambia hakunaga mungu
Dogo mmoja akadakia,,,"Mwalimu, samahani kidogo!".
Mwalimu: "Bila samahani"
Dogo akatoka mbele...Anaanza kuwauliza wenzake,,,
Dogo:Angalieni kichwani kwa mwalimu, mnaona nin?
Wanafunzi:Nyweleee!!
Dogo:Vizuri, kingine je?
Wanafunzi:Hamnaaa!!!
Dogo:Mnaona ubongo??
Wanafunzi:Hatuuooniii
Dogo:Sasa tutaaminije?, mim nawaambiaga hana ubongo huyu
Ile chekechea ilifungwa siku ile ile,ACHENI MUNGU AITWE MUNGU TU [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#Am_back
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using
JamiiForums mobile app