Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haahahahahahaaaaaaa.Mzee kutoka Njombe alifika Dar, nyumba aliyofikia akasikia mke na mume wanaitana Darling..
Jamaa aliporudi Njombe akamwita mkewe hello my Njombeling..
Mke akamuuliza maana yake nn?
Mume akacheka tena kwa zarau sana akamwambia ushamba mwingine bwana tembea uyaone ukiwa Dar unaitwa Darling sasa ukiwa Njombe unafikiri utaitwaje kama si Njombeling?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
From Trevor Noah,umekopi,wabongo kwa keteleza juu ya maganda ya ndizi,hamjamboCheka Unenepee:
Kuna wanaume wengine wanaweza kutumia sekunde 5 kufungua sidiria ya dem kwenye giza totoro lakin ana tumia dk 30 kutafta wakorintho 8 kwenye bible mchana kweupe
Mipakio Rununu daaaahh ndo nini hiyo??Ukitaka kujua kiswahili kigumu basi vamia hiyo FACEBOOK YA KISWAHILI ukutane na faili linaitwa "MIPAKIO RUNUNU"
hapo ndo utajua kwanini chips hazina ukoko
[emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125]*STORY YA KUTISHA*
- - - - - - - - - - - - - - -
Siku moja MUME na MKE walikwenda kwa MGANGA. . . .
(itaendelea wakirudi).
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukitaka kujua kiswahili kigumu basi vamia hiyo FACEBOOK YA KISWAHILI ukutane na faili linaitwa "MIPAKIO RUNUNU"
hapo ndo utajua kwanini chips hazina ukoko