Hahahaaa,, freyzmen naAlibakari mtakua ndgu nyie,, sio kwa sigara hiziii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uwe unanua mbegu upande mwenyewe, ziwe kutoka huko; hapo ndio utapata ule udambwi dambwi halisi...[emoji23] [emoji23] [emoji763] [emoji124]
Mzee baba kwa ii mvua ya DSM??????[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]*TANGAZO*
Mkioga na maji ya mvua tumieni perfume tafadhali
Nimekaa na mtu kwenye hiace ananukia mabati.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahaaaaaaHahahaaa,,, kichaa kweli ww
*[emoji23]Enzi hizo shule kuna wanafunzi walikuwa wanaandika topic kwa kalamu nyekundu, sub topic kalamu ya nyeusi, na notes kalamu ya bluu.[emoji23] Sijui mko wapi siku hizi, au mlipata kazi sadolin?*
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
hahaa shenzi kabisaSHULE ALIYOKUWA AKISOMA MDOGO WANGU MATOKEO YAPO HIVI
Div I =0
Div II=0
Div III=0
Div IV=0
Div 0= 96
Matokeo ya mdogo wangu bado sijayacheki
NAOMBEA AWE AMEFAULU TUU.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Namimi cjui nikusaidie waje nakwanguWADADA NAFASI ZA KUTONGOZWA ZIMETOKA BAADA YA WENYE VYETI FEKI KUONDOLEWA KAMA UPO SERIOUS HUJAPATA MWANAUME PLEASE NJOO PM[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii nayo.."Kuna mbaba mmoja mtanashati.....akivaaga suruali zake huku mbele anakuwa katunaaaaaa, yaani natamani nimyonye tu." - Kuna wadada walikuwa wanasema haya juzi pale Break Point, Kinondoni.
Hahaaaaa polejana nmetoka kuangalia movie ya kivita,na mm nkajiona kama nmeshakua stering vle..nkachkua mwiko nkatokea nao barabaran nkasimamisha difenda la FFU nkawauliza mnatoka wapi na mnaenda wap?
Hadi sasa hivi nupo kitandan napewa matibabu, @@@AKILI YANGU NAIJUA MWENYEWE!!!!...
aha haaa a aaaa dujana nmetoka kuangalia movie ya kivita,na mm nkajiona kama nmeshakua stering vle..nkachkua mwiko nkatokea nao barabaran nkasimamisha difenda la FFU nkawauliza mnatoka wapi na mnaenda wap?
Hadi sasa hivi nupo kitandan napewa matibabu, @@@AKILI YANGU NAIJUA MWENYEWE!!!!...
Kawaulize wazazi wa lucky vicentNIKIWA SHULE MWALIMU WANGU WA KISWAHILI ALINAMBIA "MTU MWENYE MKONO MREFU MAANA YAKE NI MWIZI"
SASA KUNA WAKATI UNASIKIA VIONGOZI WANASEMA..MSICHEZE NA SERIKALI MAANA SERIKALI "INA MKONO MREFU"
YAANI HAPO NDO NASHINDWAGA KUELEWA NDUGU WATANZANIA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaaaaaTigo Walianzisha *Halichachi*
Airtel Wakaiga *Hatupimi*
Voda Wakaiga *Haliishi*
Sasa Hivi Tigo Wameanzisha *JAZA UJAZWE*
Halotel na Wao Wameiga *INGIZA UINGIZWE[emoji23][emoji23][emoji23]*
Airtel na Wao Washaiga *RAMBA URAMBWE[emoji23][emoji23][emoji23]*
Vodacom na Wao Washaiga *TIA UTIWE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
*[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Hapa Nilipo Naenda Kusajir Lain ya ZANTEL Maana Sipendagi offer za kjinga jinga mm wajazane wenyewe sasa*
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]*JE WAJUA?*
*Msuli mrefu kuliko yote kwenye mwili wa binadamu unaunganisha kope za macho na sehemu ya kutolea haja kubwa (anus) ndo mana kila ukijaribu kubana jicho moja sehemu ya haja kubwa hufunguka bila kutarajia?*
*nawaona cheki unavojaribu...utakuja kunya buree jaman....[emoji23][emoji23]*
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]