Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Uwe unanua mbegu upande mwenyewe, ziwe kutoka huko; hapo ndio utapata ule udambwi dambwi halisi...[emoji23] [emoji23] [emoji763] [emoji124]
Hahahaaa,, freyzmen naAlibakari mtakua ndgu nyie,, sio kwa sigara hiziii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
*TANGAZO*
Mkioga na maji ya mvua tumieni perfume tafadhali
Nimekaa na mtu kwenye hiace ananukia mabati.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee baba kwa ii mvua ya DSM??????[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
SHULE ALIYOKUWA AKISOMA MDOGO WANGU MATOKEO YAPO HIVI
Div I =0
Div II=0
Div III=0
Div IV=0
Div 0= 96
Matokeo ya mdogo wangu bado sijayacheki
NAOMBEA AWE AMEFAULU TUU.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
hahaa shenzi kabisa
 
WADADA NAFASI ZA KUTONGOZWA ZIMETOKA BAADA YA WENYE VYETI FEKI KUONDOLEWA KAMA UPO SERIOUS HUJAPATA MWANAUME PLEASE NJOO PM[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukitaka kujua kweli wanaume tumeumbwa mateso we usivae boksa[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] then kwa bahati mbaya ubanwe na zipu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dadeki kama hutoimba acapela kwa sauti #1
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377]
 
LEA na RAHELI waliolewa na house boy(YAKOBO.) wa baba yao mzee LABANI
SIPORA aliolewa na mchunga kondoo(MUSA,) wa baba yake mzee YETHRO
sasa nyinyi wadada hizo nyumba na magari na kazi nzuri mnazotaka wakaka wawe nazo mmezitoa kwenye biblia ipi,,
EMBU MUWE MNASOMA NA AGANO LA KALE JAMANI..,,,,
[emoji3][emoji3][emoji108]
 
Kila siku nikiona makalio ya nyani huwa sipati picha[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] afadhali watoto wetu mashuleni wanakaa kwenye madawati maana nilikuwa nahisi na wao makalio yao yangefanana na makalio ya nyani kwa kukalia mawe[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Bangi hupelekea nithink positive [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
jana nmetoka kuangalia movie ya kivita,na mm nkajiona kama nmeshakua stering vle..nkachkua mwiko nkatokea nao barabaran nkasimamisha difenda la FFU nkawauliza mnatoka wapi na mnaenda wap?
Hadi sasa hivi nupo kitandan napewa matibabu, @@@AKILI YANGU NAIJUA MWENYEWE!!!!...
Hahaaaaa pole
 
jana nmetoka kuangalia movie ya kivita,na mm nkajiona kama nmeshakua stering vle..nkachkua mwiko nkatokea nao barabaran nkasimamisha difenda la FFU nkawauliza mnatoka wapi na mnaenda wap?
Hadi sasa hivi nupo kitandan napewa matibabu, @@@AKILI YANGU NAIJUA MWENYEWE!!!!...
aha haaa a aaaa du
 
NIKIWA SHULE MWALIMU WANGU WA KISWAHILI ALINAMBIA "MTU MWENYE MKONO MREFU MAANA YAKE NI MWIZI"
SASA KUNA WAKATI UNASIKIA VIONGOZI WANASEMA..MSICHEZE NA SERIKALI MAANA SERIKALI "INA MKONO MREFU"
YAANI HAPO NDO NASHINDWAGA KUELEWA NDUGU WATANZANIA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kawaulize wazazi wa lucky vicent
 
Tigo Walianzisha *Halichachi*

Airtel Wakaiga *Hatupimi*

Voda Wakaiga *Haliishi*

Sasa Hivi Tigo Wameanzisha *JAZA UJAZWE*

Halotel na Wao Wameiga *INGIZA UINGIZWE[emoji23][emoji23][emoji23]*

Airtel na Wao Washaiga *RAMBA URAMBWE[emoji23][emoji23][emoji23]*

Vodacom na Wao Washaiga *TIA UTIWE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*

*[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Hapa Nilipo Naenda Kusajir Lain ya ZANTEL Maana Sipendagi offer za kjinga jinga mm wajazane wenyewe sasa*
Hahahaaaaa
 
*JE WAJUA?*
*Msuli mrefu kuliko yote kwenye mwili wa binadamu unaunganisha kope za macho na sehemu ya kutolea haja kubwa (anus) ndo mana kila ukijaribu kubana jicho moja sehemu ya haja kubwa hufunguka bila kutarajia?*

*nawaona cheki unavojaribu...utakuja kunya buree jaman....[emoji23][emoji23]*

[emoji12][emoji12][emoji12][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
*JE WAJUA?*
*Msuli mrefu kuliko yote kwenye mwili wa binadamu unaunganisha kope za macho na sehemu ya kutolea haja kubwa (anus) ndo mana kila ukijaribu kubana jicho moja sehemu ya haja kubwa hufunguka bila kutarajia?*

*nawaona cheki unavojaribu...utakuja kunya buree jaman....[emoji23][emoji23]*

[emoji12][emoji12][emoji12][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom