Moja baridi moja ya moto, baada ya kazi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwifwa bhanaaa, mbona unanifanyia hivi mtt wa mwenzio ucku wote huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We mpuuz kweli hahahah*JE WAJUA?*
*Msuli mrefu kuliko yote kwenye mwili wa binadamu unaunganisha kope za macho na sehemu ya kutolea haja kubwa (anus) ndo mana kila ukijaribu kubana jicho moja sehemu ya haja kubwa hufunguka bila kutarajia?*
*nawaona cheki unavojaribu...utakuja kunya buree jaman....[emoji23][emoji23]*
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji4] [emoji4] [emoji4] yeuwii da we jamaa Nouma sipati picha siku nikikuona[emoji23]Ukitaka kujua kweli wanaume tumeumbwa mateso we usivae boksa[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] then kwa bahati mbaya ubanwe na zipu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dadeki kama hutoimba acapela kwa sauti #1
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377]
Duuu wewe kibokoMlevi kaulizwa, Tunaposema R.I.P kwa mtu aliefariki tunamaanisha nini?
Mlevi bila kuchelewa kajibu
Roho Imefika Peponi[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukiniona nitakuwa nishavuta, macho mekundu(nyanya) na nitakuwa sikukumbuki tumeonana wapi[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji4] [emoji4] [emoji4] yeuwii da we jamaa Nouma sipati picha siku nikikuona[emoji23]
Nammiss rafiki yangu Jovitha![emoji31][emoji31][emoji31]Duuu wewe kiboko
Jovitha nakuona[emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji4] [emoji4] [emoji4] yeuwii da we jamaa Nouma sipati picha siku nikikuona[emoji23]
Niko hapa sema shida zako zooote zinazokusibuNammiss rafiki yangu Jovitha![emoji31][emoji31][emoji31]
Nimejaaa telJovitha nakuona[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mi mbegu huwa natengeneza kashata, kama zile za ufuta[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125]Na mbegu watoe...
Huo ubunifu ni mzuri, hizo safi sana ukishushia na bapa...[emoji763] [emoji763] [emoji124] [emoji124]Mi mbegu huwa natengeneza kashata, kama zile za ufuta[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125]
Bapa situmii, niliacha kitambo, mi ni kijiti kwa kwenda mbeleHuo ubunifu ni mzuri, hizo safi sana ukishushia na bapa...[emoji763] [emoji763] [emoji124] [emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaaah yalabitoba mbavu zanguKIVULI BWANA!
Yaani mimi nipo kwenye kibanda nanunua
MCHICHA lakini chenyewe kimesimama
BUCHANI
Kweli?[emoji15] [emoji15] basi ngoja nikalitafute sahv mana hapa nilipo leo nina kiu balaa, nimevuta sana hadi mwili unawasha[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Bapa linaongeza IQ, kijiti kina boresha IQ...
Ongeza IQ wewe...[emoji14] [emoji23] [emoji763] [emoji124]
Hahaha huyo atakua mimi.WANAWAKE BHANA MUNGU ANAWAONA
Jamaa kaamka asubuhi kavaa track suit akamuasha mkewe
MUME:Amka twende jogging mke wangu? [emoji4]
MKE: Alaaa kwa hiyo una maana mi tipwatipwa?[emoji19]
MUME: Hapana si hivyo jogging ni nzuri kwa afya. [emoji54]
MKE: Kwa hiyo una maana mi mgonjwa? [emoji53]
MUME: Basi yaishe endelea kulala
MKE: Kwa hiyo unaniona mi mvivu sana sio?
MUME:Hujanielewa mpenzi wangu sikuwa na maana hiyo baby [emoji47]
MKE:Kwa hiyo mie mjinga mpaka nashindwa kukuelewa?[emoji40]
MUME:Jamani mi sijasema hilo[emoji20]
MKE:Kwa hiyo mie muongo?
MUME:Chonde tusiendeleze haya asubuhi namna hii[emoji21]
MKE:Kwa hiyo mie ndio naendeleza ugomvi?[emoji36]
MUME:Sikia we lala mie naenda jogging.[emoji43]
MKE:Ndio zako hizo mambo yote unafanya peke yako hunishirikishi"
MUME:Unajua nimeanza kusikia kizunguzungu
MKE: Unaona nikiongea kidogo unakimbilia kuumwa, mbinafsi sana wewe......
Jamaa nimemuacha kibarazani kwake amewasha kipisi cha bangi anapiga paf anatafakari la kufanya[emoji189][emoji189][emoji189]
Ebanaeeee, inatosha aseeeHouse girl mmoja alipewa kazi na mzungu mara akavunja sahani.
Mzungu aliporejea,kazin akamuuliza 'what happened to my plate?
House girl akajbu: 'The dog wow wow friji paaa, mchuzi mwaaaa the vyombo pangalapangala the sahan ngelengenjee......the pasuka paaaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hadi saiz mzungu bado anasoma dictionary hajui lugha gani imetumika[emoji23]akili yangu naijua mwenyewe.