Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

alibakari baada ya kupuliza mmea na kuingia ulingoni...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Akitoka hapo anaenda kushushia na kashata za mbengu za lijani!
Ushauri; usiache hii kitu, inakufaa sana maana kwenye maakuli huzazi kitu! [emoji14] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
*Jamani makubwa haya!*
Niko zangu home nimetulia, mara naskia jamaa Anasema ; *Nauza* *vifuniko* *vya* *asali*
Nimetoka nje kuangalia kumbe anauza
*chupi* na *sidiria*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkono wa serikali kwenye maswala ya hela za maafa na rambi rambi ... Mkuu inabidi uelewe sasa kwa huo mfano wangu.

Mwalimu wako alikufundisha vizuri kabisa.
 
Vuta picha umelala mida ya alfajiri hivi... Usingizi ule wa kukesha jana yake, halafu kuna mtu anakuja kukugongea mlango kwa fujo sana kwenye mida ya kama saa moja moja hivi. Ile unaamka na hasira zako kwenda kumfungulia unajikwaa kidole cha mwisho cha mguu ktk kona ya kitanda ile ndiiii.. kugeuka unaparamia ndoo za maji yanamwagika. mara unateleza ktk yale maji unaangukia meza unaangusha tv, deki na ww chini mara waya wa umeme unakupiga short mgongoni, unafika mlangoni na maumivu ya kidole + uchovu + hacra + hasara na short juu unakutana na jamaa anakwambia nasajili line za Halotel

Hapa ndo utaelewa samehe 7x70 inamaanisha nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimecheka yaani kidogo nijambe [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
*Kumbe kuoa mwanamke ambaye hajasoma raha hata ukiulizwa*

*Mke: mme wangu unaenda wapi?*

*Mme: naenda kubadilisha profile picture Mbeya*

*Mke: haya mme wangu safari njema*

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] *shule muhimu!*
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dawa ya kiburi, jeuri tu.

Mke:Naelekea london, nikuletee zawadi gani?
Mume: kitu gani unaweza niletea wewe?
Mke:we omba Alafu utaona.
Mume: Niletee msichana wa kizungu.
Mke: (mke akaenda London na kurudi)
Mume: zawadi yangu iko wapi?
Mke: Subiri ndani ya miezi 9!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji85]

*Pia Wamama hawapendi ujinga*
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…