Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

NILIKUWA KATIKA MGAHAWA NAKULA,
SOON NAMUONA X WANGU ANAMUOMBA
MSAMAHA MUUZA CHAKULA
NDIPO NILIPOMUITA MUUZAJI NA
KUMUULIZA KUNA NINI???
YULE MUUZAJI KANIAMBIA YULE DADA KALA CHIPS KUKU KASHINDWA KULIPA
SASA ANAMUOMBA AKAMENYE VIAZI.
NDIPO NIKAINGIA MFUKONI NA KUMPA
ELFU 25 YULE MUUZAJI AKANUNUE GUNIA
LINGINE LA VIAZI

***MIMI SIPENDAGI UJINGA si bora hata angekuka chipsi kavu
 
Hii kali aisee.
 
HAYA SIO MAPENZI MUBASHARA NI KUTIANA AIBU DEMU WA KITANGA KANIWEKEA HILIKI, MDALASINI NA KARAFUU KWENYE MAJI YA KUOGA NJIA NZIMA NANUKIA PILAU[emoji23][emoji23][emoji23]

mabinti wa kitanga Mungu anawaonaa!
 
Kwa bosi utapeleka nini mkuu
 
Duuh jaman..![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji86] [emoji86]
 
Umeshawahi kwenda kwenye harusi halafu Dj akawa anaplay
mziki,wakati huo mziki uko sauti ya juu sana halafu unaongea na rafki
yako kwa sautiii ili akusikie, mara Dj
anazima gafla mziki huku
unapayuka halafu inakukuta
unapayuka "Bibi arusi mbayaa"
halafu umekaa nyuma ya meza ya
wazazi wake...
[emoji1][emoji1]

Hapo ndio utajuakuwa kiwembe na kisu vinakata lakini havina diwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…