Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Argument of the day.
Wikipedia : I know everything.
Google : I have everything.
Facebook : I know everybody.
Internet : Without me, you are all nothing.
battery: Keep talking …we shall see.[emoji34]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
.....Electricity: You guys keep talking![emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mwalimu wa mwendokasi wa sayansi.
[HASHTAG]#mwaka[/HASHTAG] huu tutafanya practical kwa vitendo.......[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[HASHTAG]#akili[/HASHTAG] yangu naijua mwenyewe.
 
*Jamaa usiku kucha "anajamba".! hovyo kwa kila aina ya sauti. Mara pwii.. ! mara fyuu.. ! mara puu...! mara pyeeh..! Mara tata taa...! Mara buuu...!*
*Mkewe akamuuliza una nini leo ?*
*Akajibu nasikiliza ringtones za matako yangu..! maana kuna zingine nataka kuz delete..*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],[emoji23][emoji23][emoji23]
*Pumbavu KABISA*
 
1. Maswali haya je una majibi? JIBU KISHA NITUMIE MAJIBU![mtihani wa maarifa ya dunia]
1. Kama hela haioti kwny miti, kwnn bank zina matawi?
2. Kwnn gundi haigandi kwenye chupa yake?
3. Kama tunatakiwa tusi-drive wkt tumekunywa, kwnn bar kuna parking?
4. Kama neno abbreviation linamaanisha ufupisho, kwnn lenyewe ni refu hvo?
5. Kama tunatakiwa kufanya sex ndani ya ndoa 2, kwnn tunabalehe kabla ya kufunga ndoa? Kazi kwako…
 
STORI YA KUGUSA SANA.

Mtoto mmoja akiwa anatoka shule akielekea nyumban aliona paka mdogo akiwa amekufa. Akamsogelea na kumgusa kwa huzuni. Akamgusa tena, akamgusa tena, akamgusa tena, akamgusa tena, akamgusa tena, akamgusa tena.

Kama nlivyosema stori ni ya kugusa sana.
 
Katika masaa 24 basi masaa 12 nakua online hapa jf sijui kwann lakini I wishi I kuliudu bi e MODERATOR
 
2bd02a6e1dda2c17a97e52069f9a0f17.jpg

Wasafiiiii
Apa Queen ndo alikuwa juu
 
```Amazing Fact

[emoji117]inachukua sekunde 7 baada ya kumeza chakula kufika tumboni
[emoji117]Mtu akifa,ubongo hutumia dakika 15 kumalizia shughul za mwilini
[emoji117]mwanamke ndio kiumbe chenye huruma zaidi na kikatili zaidi hapo hapo
[emoji117]Urefu wa kidole gumba cha mwanaume ni Mara 3 upate urefu wa uume wake.
[emoji117]Mate ya binadamu yanaweza yakawa sumu
[emoji117]Wanawake washamaliza kusoma,
[emoji117]wanaume bado wanaangalia vidole gumba vyao```

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahaha[emoji23]
 
*Jamaa usiku kucha "anajamba".! hovyo kwa kila aina ya sauti. Mara pwii.. ! mara fyuu.. ! mara puu...! mara pyeeh..! Mara tata taa...! Mara buuu...!*
*Mkewe akamuuliza una nini leo ?*
*Akajibu nasikiliza ringtones za matako yangu..! maana kuna zingine nataka kuz delete..*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],[emoji23][emoji23][emoji23]
*Pumbavu KABISA*
Hahahahaaaaaaa
 
Bangi acha ipigwe marufuku...!!! [emoji23][emoji23][emoji23]

Jamaa walikuwa wamekaa jumba bovu wanavuta bangi wakaishiwa kiberiti,

Si ndipo wakamtuma
mwenzao akaombe popote. Jamaa akazungukaaaaa weee..!!

Akatokea pale pale walipo wenzie..
akawambia, "...masela naombeni kiberiti". Kwa kuwa jamaa nao walikuwa wamekolea kisawasawa wakamjibu,,

"...Tumemtuma mshikaji, kaa hapa tumsubiri". Jamaa nae Si akakaa kusubiri kiberiti...!!![emoji23][emoji23][emoji23]
Walisubiri, Wakasubiri, Wakasubiri... na
Wakasubiriiiii weee..!!! mpaka Saivi nimewaaacha wanasubiri tu..!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
watoto wa siku hizi bana
kiongozi mmoja alikuwa Na mkutano wa hadhara akasema waliojenga nyumba karibu Na barabara nyumba zao zote zitawekwa X.basi watoto kusikia hivyo walifurahi Sana mtoto mmoja akasema "muheshimiwa ukiweka X weka za Kiswahili maana wazungu tumewachoka hawavai hata shanga"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom