Bangi acha ipigwe marufuku...!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa walikuwa wamekaa jumba bovu wanavuta bangi wakaishiwa kiberiti,
Si ndipo wakamtuma
mwenzao akaombe popote. Jamaa akazungukaaaaa weee..!!
Akatokea pale pale walipo wenzie..
akawambia, "...masela naombeni kiberiti". Kwa kuwa jamaa nao walikuwa wamekolea kisawasawa wakamjibu,,
"...Tumemtuma mshikaji, kaa hapa tumsubiri". Jamaa nae Si akakaa kusubiri kiberiti...!!![emoji23][emoji23][emoji23]
Walisubiri, Wakasubiri, Wakasubiri... na
Wakasubiriiiii weee..!!! mpaka Saivi nimewaaacha wanasubiri tu..!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]