Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaNajiuliza hiv msichana akiwa period afu
akakalia meza haiwezi kutokea periodic
table......
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kama kuna mtu ana wimbo wa Mr blue ule wa mboga saba anitumie nina kiporo changu cha wali nataka nikimalizie...
Anasubiri chenji katoa hela kubwa.
Anasubiri chenji katoa hela kubwa.
Hahahaha[emoji23][emoji23]sasa io kanga ya kuvaa au kanga mnyamaOk ahsante afadhali nishapata cha kumuongopea maana ningeumbuka[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi nilijua kanga ni GUINEAFOWL [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nimevuta kidogo tu leo[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23]
hahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
[emoji23] [emoji23] kumbe hata huku huwa unafika Mr loserpoolWadau samahani msaada wa haraka tafadhali:
Ninapika pilau hapa. Sasa nimesahau kidogo. Hivi nikishaweka mahindi nini kinafuata?
[emoji23] [emoji23] kumbe hata huku huwa unafika Mr loserpool
Afadhali wewe umepata njaa, mi mademu nimekosa na hata njaa pia sikumpata[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] poleBaada ya kulala peke yangu kwa muda mrefu
Hatimaye jana nimelala na njaa