Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Basi Bayern Munchen walivo na roho mbaya,utawaona mwakani na wao watatolewa kwenye makundi ili mradi tu wakacheze na Arsenal Europa[emoji51][emoji51][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]
 
18645852_185391028651440_4706340577870872576_n.jpg

Aiseee inauma sana[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Wanyama wangekuwa na WHAT'S UP.
Status zingekuwa:

MENDE: "nimekoswa na guu la mama mwenye Nyumba, maisha yangu mashakani, why always me???? "

PANYA: "nimekula nguo lenye pafyumu, nasikiaje kiu. uwiiiii"

NGURUWE: Binadamu wabaya jamani, wameshanizushia nasambaza mafua "

MBU: Nina HIV, nimekomaje kunyonyanyonya hovyo.

MBUZI: teh teh teh. thank Good pasaka imepita. ni kula BATA tuu mpaka EID.

KUKU: "friends mkiona kesho kimya mjue nipo mezani maana kuna wageni wamekuja leo hapa home, tuombeane uzima wapendwa, love you all"

MBWA:Wadau mie nshakuwa wa kulala nje tu na kuwalinda washikaji kisha wananipa makombo

PAKA:Kweli unga umepanda kabana hadi panya hawaonekani vichochoroni

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Basi Bayern Munchen walivo na roho mbaya,utawaona mwakani na wao watatolewa kwenye makundi ili mradi tu wakacheze na Arsenal Europa[emoji51][emoji51][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
MSICHANA: Baby Naomba Unisaidie Pesa Nikaweke Vizuri Nywele Zangu Naona Haziko Sawa(Jamaa Akazama Mfuko Akachomoa Noti Kadhaa Za Elfutano tano Na Kumpatia Msichana)

JAMAA: Baby Japo Najua Pesa Hiyo Ni Kidogo Ila Ukiipangilia Vizur Inaweza Kukutosha
(Msichana Baada Ya Kuzihesabu Na Kukuta Zipo 100,000/- Akachukua 15,000/- Halafu Ile 85,000/- Iliyobaki Akamrudishia Jamaa Kisha Akasema🙂

Baby Hii 15,000/- Inanitosha Hiyo 85,000/- Utaitumia Kwa Mambo Mengine,
Hupaswi Kuanza Kutumia Pesa Nyingi Kwaajili Yangu Sasaivi Ila Utakapokuwa Umenioa Ndipo Utapaswa Kufanya Hivyo.

*Nikaamka kwa mshtuko kwani kwa uzoefu wangu wote sijawahi ota ndoto yakutisha kama hii*
Mkuu kumbe ulikuwa unaota? Nilidhani ilikuwa ni live
 
*ET ALIYEWAHI KULA JEURI YAKE ANIAMBIE LADHA IKOJE NA MIMI NILE KWASABABU NASIKIA TU WATU WAKIAMBIWA UTAKULA JEURI YAKO*

*Wahenga agizeni coca baridii nitalipa bill*
Chungu balaaa[emoji23][emoji23]
 
MKE; (kachukua simu akaanza kuongea kwa hasira),mume wangu uko wapi mpaka mida hii saa 4 za usiku?

MUME; Mke wangu unalikumbuka lile duka la urembo ambalo tuliukuta ule mkufu wa dhahabu ambao ulisema unaupenda sana halafu nikakwambia sina hela ila nikasema ipo siku nikipata hela nitakununulia?

MKE; Yes,yes napakumbuka dear,enhee niambie mume wangu!

MUME; Okay sasa kwa nyuma yake kuna bar,nipo nakunywa hapa![emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Ukitaka kujua kweli wanaume tumeumbwa mateso we usivae boksa[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] then kwa bahati mbaya ubanwe na zipu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dadeki kama hutoimba acapela kwa sauti #1
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377]
07ccbf0d5b399b735b7199257cfb74ed.jpg
 
MKE; (kachukua simu akaanza kuongea kwa hasira),mume wangu uko wapi mpaka mida hii saa 4 za usiku?

MUME; Mke wangu unalikumbuka lile duka la urembo ambalo tuliukuta ule mkufu wa dhahabu ambao ulisema unaupenda sana halafu nikakwambia sina hela ila nikasema ipo siku nikipata hela nitakununulia?

MKE; Yes,yes napakumbuka dear,enhee niambie mume wangu!

MUME; Okay sasa kwa nyuma yake kuna bar,nipo nakunywa hapa![emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Mwifwa bhanaaa, mbona unanifanyia hivi mtt wa mwenzio ucku wote huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom