Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti samahani hivi katika tembea tembea zako ushawahi kukutana na masai anaongea BESI??
Mi sijawahi hata kukutana na Masai albino[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ila we jamaa umenifanya nionekane mwehu kwenye daladala.. daah!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huko nchini SOMALIA kuna mtu amechepuka Mara moja tu na kuhukumiwa kupigwa mawe hadharani hadi kufa.
Hii sheria ikiletwa Tanzania itabidi serikali iagize kwanza mawe nchi za nje maana yaliyopo hayatatosha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kaiva[HASHTAG]#Chizi[/HASHTAG] alipanda juu ya mti wa mwembe asubuhi, akakaa juu hadi jioni, kisha akajiangusha, watu wakamuuliza "mbona umejiangusha?" Chizi akajibu "NIMEIVA"
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]ENGLISH BWANA TUWAACHIE WAZUNGU: #POLICE_ALIMKAMATA_MZUNGU!! POLISI: Yesterday I saw you at the maize
shop( Akimaanisha.........Jana nilikuona
dukani kwa muindi)
When you saw me you started to sixsix
(Uliponiona ukaanza kusitasita)
When I follow you run and plant a car (Nilipokufata ukakimbia na kupanda gari)
Now you are down of security
(Sasa upo chini ya Ulinzi)
Sleep and snake well before I cut you a
millet
(Lala na nyooka vizuri kabla sijakukata mtama)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SHIKAMOOOO KIZUNGU
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]UKIMWONA MWANAMKE MJA MZITO ANATEMA TEMA SAAANA MATE,
UJUE MTOTO KAJAMBA TUMBONI[emoji3]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hili suala hata mimi huwa silielewi.[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi ukiwa unaangalia habari huwa umeshaweka camera ya simu yako ready?[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Ha ha ha ha ha ha we chizi kweliTETESI ZILIZOPO HAPA
KUWA DAWASCO NA WAO WANATAKA KUJA NA YAO
LIPA UMWAGIWE[emoji2]
Unakua una chart labda heheheee[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi ukiwa unaangalia habari huwa umeshaweka camera ya simu yako ready?[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
[emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ,,,, so anatumia mjazo wake…!!ukiona mtu mwenye namba ya tigo anachati.... Ujue kasha jazwa