Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

daf33378f372c272420398f6248c2b42.jpg
8982e249bc09bbb5f5dc466e3710c9c4.jpg

[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 
Stress ni nini

Stress ni pale upo kuelekea kazini kwa bahati mrembo anakuomba lift
na bahati mbaya hali yake inabadilika unamkimbiza hospital, baada ya muda doctor anatoka anakwambia hongera, unajiuliza hongera ya nini ana kwambia mkeo ana mimba una tahamaki na kumwambia doctor huyu sio mke wangu lakini kale kadada kwa sauti ya nyororo kanamwambia doctor ni mimba yake, unapanic doctor anakwambia hebu njoo nikupime baada ya mida doctor anatoka anakwambia ni kweli mimba sio yako unashusha pumzi lakini anakwambia nilivyokupima nimegundua huna uwezo wa kudharisha unapatwa na mshitiko na kupata na big stress na kufikiria kama sina uwezo wa kudharisha wale watoto watatu nilio nao ni wa nani.!!?
Watakua wangu hao[emoji23]
 
Story hii ina funza......
Mtoto mmoja wa miaka iliyokadiriwa kufikia
kama miaka kumi hivi, alikuwa anakula embe
mara akakuta FUNZA....alichofanya aliacha
kulila akaenda kunawa
Nimekwambia story ina FUNZA....... nadhan umemuona.. Akili yang naijua mwenyew
Nime muona [emoji218] na msogezea kaa la moto na msubiri apasuke [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sipendagi hadithi zenye wadudu Mimi.
 
1. Mpige mtoto wa kitanzania
2. Mbembeleze kwa biskuti
3. Muulize nani kakupiga??

Atamtaja mtu mwingine...

Hii ndo jinsi rushwa ilivyoanza Tanzania..

[emoji16][emoji16][emoji16]‍♀[emoji125]‍♀‍♀[emoji125]
 
Je Wajua? ..huwez kupata shambulio la Moyo(hearthattack) kwenye miguu yako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom