Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Hakuna furaha kama kukutana na EX wako akiwa amechoka amewamba kapauka na kila dalili ya kukuomba msaada. Nafsi yako huburudika sana.

Nb :tukivua vazi la UNAFIKI huo ndio ukweli.
uyoo alikunyimaga.........Ex mliepotezana mda ata kama mliachana ki shari mkikutana lazima kupasha kiporo[emoji28][emoji39]......so muombee Ex wako mafanikio banaa
 
Umeelewa tofauti namimi! Hili suala ni la starehe maana halihitaji pupa ni utulivu na privacy iwepo yaan burudaniiii! Hasa kiwe choo safiii kisicho na foleni za hodihodi

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji3]upo sawa kabisa huyo hua haelewagi siku zoote..nikashangaa ghafla tu asubuhi subuhi akaanza na povu
Sikutaka kubishana nae manake ile harufu iliokuja kwanza cm ilistuck[emoji3] nikajua huyu hata bei ya mswaki haijui[emoji3]
 
5fa48cf7175a418c0e231121f8a5f32c.jpg

Wadau wamepiga zaidi ya mara 80...
 
Ukitoa shilingi 10,000 bar unaonekana kibopa lakini ukitoa hiyo noti kwenye daladala unaonekana msumbufu.. Hii inaitwa muktadha... Na ukivaa nguo ndefu na yenye heshma katika nyumba ya Ibada utaonekana una maadili mema ila ukivaa gauni kama hilo club unaonekana mshamba... Hii inaitwa Utambuzi... Ukinyoa kipara kama una pesa unaonekana smart ila kama ni masikini unaonekana chokoraa.. Hii inaitwa nguvu ya pesa.
 
Back
Top Bottom