Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

*Tulikua kwenye basi tunaelekea arusha, ile namcheki dereva kumbe ni best yangu na basi ilikua kwenye spidi hatari,* *nikaenda kumziba macho nikamuuliza* otea mi ni nani, kabla hajanijibu nikasikia kishindo kikubwa sana
na sasa hivi nimezinduka naona abiria wote tupo wodi namba 3 hapa KCMC Moshi nafkiri stendi imehamishiwa huku sikuizi.
[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]

*Akili zangu nazijua mwenyewe!!!*
haahaaa mtaniua jaman na kucheka[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
24177656_158505551422748_4628467812862525440_n.jpg
 
122b197e02566b6dc5227818ef574279.jpg

Hivi ni mimi peke yangu naliona hili paa linanitizama au bangi nilizovuta tu!?[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Back
Top Bottom