Kipanga boy
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,409
- 1,219
Mzungu aliyekufa ndiye mzungu pekee wa kuaminiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haahaaa mtaniua jaman na kucheka[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]*Tulikua kwenye basi tunaelekea arusha, ile namcheki dereva kumbe ni best yangu na basi ilikua kwenye spidi hatari,* *nikaenda kumziba macho nikamuuliza* otea mi ni nani, kabla hajanijibu nikasikia kishindo kikubwa sana
na sasa hivi nimezinduka naona abiria wote tupo wodi namba 3 hapa KCMC Moshi nafkiri stendi imehamishiwa huku sikuizi.
[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
*Akili zangu nazijua mwenyewe!!!*
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*Yule mwanaume aliyeanzisha msemo wa"LADIES FIRST"hana lolote*
*Anataka tu mwanamke atangulie amwangalie Makalio*
Sijakuelewa""Mwanaume ukijenga nyumba mwachie MKEO adizain CEILING BOARD..Maana wao washaziona nying kuliko sisi""
Ahsanteni
Duh baba wa Mwendokasi[emoji3]
hiyo lugha ya emoji nimeipenda [emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]Duh baba wa Mwendokasi[emoji3]