Kama una tabia hizi 10, huwezi kamwe kufanikiwa kwenye maisha

Mimi nachoshangaa ni kuhubiriwa na watu ambao wenyewe hawajafanikiwa, natamani maelezo kama haya yawe yanatoka kwa kina bakhresa, rostam and the like, yakitoka kea watu kama hawa nadhan wengi wetu wanaweza kushika na kuishi hizi kampuni za utajiri/mafanikio.
 
Nilikua napitia comments nikawa najisemea hivi hivi hadi nilipokutana na comment yako, mtu asema tajiri anauza vitabu jf lakini anasahau kua Bakharesa auza icecream za ukwaju hadi vichochoroni kabisa hukoo, wachina wamejaza mipipi na michocolate ya mia mbili kila pembe na bado wananunua, itakua kitabu kinachokuongezea maarifa, sasa basi hicho kitabu kingeandikwa na mzungu ungeona jinsi wana jifaharisha hapa kua wamekisoma, na wengine wangeanza kutoa lists za vitabu vya wazungu walivyovisoma, halafu mtu huyo huyo alia eti Africa haina uhuru, utoke wapi na wewe ushakubali kutawaliwa kifikra kwa kumtukuza Mzungu na kumdharau nduguyo.

Pathetic!
 
Umeongea Ukweli Mtupu Tumezoea Vitu laini laini hatutakagi kuumiza vichwa Wala Miili yetu... Kimsingi Huyu Mleta Mada nilimfahamu zamani Kidogo akiwa mwanachuo Kupitia Kipindi Cha TBC Nilimwelewa na Mpaka leo namwelewa... Tz tuna Watu wazuri Sana wachache Tatizo tumezungukwa na Watu wa Hovyo Sana Wengi. Ndo maana Hata maana ya Mafanikio inakua Shida.. na Wengi wanaopinga Ni wale wanaofikiri wamemaliza Kila kitu.. Ukiangalia Sana Watu Wengi wakijenga kuwa na kagari na Kamshahara au kipato kidogo basi wanaona wamemaliza...Kumbe Hata Kusudi la wao kuja Duniani hawalielewi.... Kazi bado tunayo
 
Hyu jamaa ni tajiri kwa level za kibongobongo hasa kwa vijana, namjua tokea anaanza harakati zake.na ana miradi tofauti tofauti sio kuuza vitabu pekee yake

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Angalau Wewe Umeonae na Huyu Kijana Atafika Mbali Sana Watu wanamchukulia POA. Fikiria kwa mfano wakati Wenzie wakitanua na Boom chuo Yeye alikuwa anazungusha Hana Muda Wa kula bata.... Nina Hakika Wengi was aliosoma Nao wanamwangalia na wanajutia Nafsi zao kimya kimya
 
Wewe Ndo utapata Taabu kwani ungekuwa Unamjua Mleta Mada Usingekomment hivi... Hata hao Motivation speakers wanna kitu kinachoweza kukusaidia.... Usidharau maneno ya Yoyote Hata Mwenda wazimu huenda akawa na Neno la Msaada kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…