Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #21
Familia inakuwa ni tegemezi, haizalishi, inabidi baba apambane familia isimame na kuishiKujenga easy kwa mtu mweny kipato cha uwakika ,mkuu mentality ya wabongo kuja kusumbua watoto baadae kwamba wawasaidie ...kuwai kuzaa haraka bila ya kuwa na malengo unaweza kukuta unaspend kwa familia bila ya kujenga bado ndugu na ukweni ni balaa tupu better kutulia ukajipanga nyumba ya kwanza fasta iko hata noma ndo unakuwa na mtoto unapandisha taratibu.