Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #41
Wanasema 'ni chaguo lako, hata kama ni mrefu...chaguo lako'Unajitahidi weee kufanya haya yote af unakuta mwenza wako umepata dishi lake limeyumba.. anaharib kila kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasema 'ni chaguo lako, hata kama ni mrefu...chaguo lako'Unajitahidi weee kufanya haya yote af unakuta mwenza wako umepata dishi lake limeyumba.. anaharib kila kitu
"Zaeni mkaongezeke, mkaijaze dunia"Wenzetu waliona mbali, ingawa kuzaa wachache pia ni dalili ya uchoyo
Shida sio kuzaa, utawalisha nini? ndio maana wanaume wanakufa haraka"Zaeni mkaongezeke, mkaijaze dunia"
Kuna wakati unakutana na mzee barabarani amepigwa na jua la utosi, huku akiongea mwenyewe; kumbe changamoto anatakiwa familia ipate mkate wa kila sikuTulipokwepa kulima ndipo tukachagua maisha haya ya kulipia bili za kilimo. Pesa nyingi huenda kwenye chakula.
Shida ni moja, kwa vijijini wanawake wanashiriki kwa 100% katika uzalishaji wa hayo mazao ya kilimo na wanaume zao so maisha yanakuwa sio mzigo kwa upande m'moja. Ila huku mjini, mwanaume ndie bread winner kwa 100% ndio maana ndoa zinavunjika siku hizi maana wameshtuka kuwa wanageuzwa punda wakati mwanamke anachopata ni nadra sana kuchangia pato la familia (sio wote).
Umeandika kama ni rahisi vile !!!Kama wewe ni muajiriwa, na una watoto wanne nakuendelea, na unaishi mjini, fanya yafuatayo:-Kutokana na ukubwa wa familia, ni sawa na viwavi jeshi kuvamia gunia la mahindi -hela itakuwa haikai, inaingia kwa spidi ndogo, na kutoka kwa spidi kubwa.
Tafuta chanzo kingine cha mapato, iwe biashara, udalali n.k Tafuta shamba ulime, au nunua chakula kwa wingi pale kinapokuwa kimeshuka bei na uweke stock, ili kuweza kupata chakula cha kutosha; haya mambo ya kwenda supermarket kuhemea kila siku, hayakufai tena Kama huna marupu rupu mengine, angalia namna ya kuwekeza mikoani/vijijini Usiendelee kukaa na kijana hapo mjini akiwa jobless huku akiwa na zaidi ya miaka 26 Kama ulikuwa hujaweka kibanda, anza kupunguza vitu visivyokuwa vya muhimu, ufanye vitu vya msingi. Achana na mambo ya starehe kabisa
Asubuhi -kama utawapa chai nzuri, elfu 20 itakata
Mchana - kama umewapa chakula kizuri elfu 25 itakata
Usiku - Kama utawapa mlo mzuri elfu 25 itakata
Kwa siku utakuwa umetumia shilingi elfu 70, mara mwezi mmoja, utakuwa umetumia milioni 2 kwa chakula tu.
Wenzetu vijijini, wanaweza hayo kwa sababu, watawalisha viazi, makande n.k na vyote hivyo vinakuwa vimetoka shambani walipo lima.
Kwa leo ni hayo tu; njooni kwa mjadala.
ushauri mzuri ila hapo pa 70 per day mhh kuna utata familia za kawaida chai haizidi hata 2000 sasa huo chai ya 20k ni chai ya mifupa ya watu ama. kuwa realistic kwenye makadirio yakohyo mtu kama anakata 2m kwenye msosi analipwa bei gani? na unapozungumzia kula vizur unamaana gani kwakua hata ukihitaj mlo kamili kwa familia hiyo bado hutazidi 15k kwa mlo mmoja
Wewe ni mgeni hapa JF?Duh, 70 elf per day[emoji45]
Wewe ni mgeni hapa JF?
Daaaah aiseee na hizi tozo hao watoto wanne si utaongea peke yako njia nzima.Kama wewe ni muajiriwa, na una watoto wanne nakuendelea, na unaishi mjini, fanya yafuatayo:-Kutokana na ukubwa wa familia, ni sawa na viwavi jeshi kuvamia gunia la mahindi -hela itakuwa haikai, inaingia kwa spidi ndogo, na kutoka kwa spidi kubwa.
Tafuta chanzo kingine cha mapato, iwe biashara, udalali n.k Tafuta shamba ulime, au nunua chakula kwa wingi pale kinapokuwa kimeshuka bei na uweke stock, ili kuweza kupata chakula cha kutosha; haya mambo ya kwenda supermarket kuhemea kila siku, hayakufai tena Kama huna marupu rupu mengine, angalia namna ya kuwekeza mikoani/vijijini Usiendelee kukaa na kijana hapo mjini akiwa jobless huku akiwa na zaidi ya miaka 26 Kama ulikuwa hujaweka kibanda, anza kupunguza vitu visivyokuwa vya muhimu, ufanye vitu vya msingi. Achana na mambo ya starehe kabisa
Asubuhi -kama utawapa chai nzuri, elfu 20 itakata
Mchana - kama umewapa chakula kizuri elfu 25 itakata
Usiku - Kama utawapa mlo mzuri elfu 25 itakata
Kwa siku utakuwa umetumia shilingi elfu 70, mara mwezi mmoja, utakuwa umetumia milioni 2 kwa chakula tu.
Wenzetu vijijini, wanaweza hayo kwa sababu, watawalisha viazi, makande n.k na vyote hivyo vinakuwa vimetoka shambani walipo lima.
Kwa leo ni hayo tu; njooni kwa mjadala.
Mjini mna raha sanaDuh, 70 elf per day[emoji45]
Kwakweli umemjibu vizur sanaSasa cha ajabu nini hapo? Chumba kimoja wazazi,cha pili watoto wa kike na cha tatu watoto wa kiume?
Kuna kitu, wanaita 'standard breakfast', achana na hii ya kujaza matumboushauri mzuri ila hapo pa 70 per day mhh kuna utata familia za kawaida chai haizidi hata 2000 sasa huo chai ya 20k ni chai ya mifupa ya watu ama. kuwa realistic kwenye makadirio yakohyo mtu kama anakata 2m kwenye msosi analipwa bei gani? na unapozungumzia kula vizur unamaana gani kwakua hata ukihitaj mlo kamili kwa familia hiyo bado hutazidi 15k kwa mlo mmoja
Wakiwa wengi, wanakuwa kama mifugo; asubuhi wale, mchana wale, usiku wale, matibabu, mavazi..na uwahudumie kwa miaka 30, na bado hawajaanza kuzalisha; na hata wakizalisha wanaweza wasikukumbukeNa hivi elimu ni bure nawafyetua tu
Ha ha ha haFamilia ya mjini inayokunywa chai ya 2000 lazima watoto wadumae akili.
Wengi tunakula ili kujaza matumbo tu; hatuli vile vitu 'standard', kuna mwingine atasema familia ya watoto 5, elfu tano inatosha kwa siku nzima.Wewe ni mgeni hapa JF?