Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #21
Familia inakuwa ni tegemezi, haizalishi, inabidi baba apambane familia isimame na kuishiKujenga easy kwa mtu mweny kipato cha uwakika ,mkuu mentality ya wabongo kuja kusumbua watoto baadae kwamba wawasaidie ...kuwai kuzaa haraka bila ya kuwa na malengo unaweza kukuta unaspend kwa familia bila ya kujenga bado ndugu na ukweni ni balaa tupu better kutulia ukajipanga nyumba ya kwanza fasta iko hata noma ndo unakuwa na mtoto unapandisha taratibu.
Yeap kaka haya mambo tunayakimbilia ili tuje kulaumu eti mipango ya mungu wakati unaweza kutulia ,,,kuja jamaa alinifuata ana kazi nzuri hata akitaka mkopo wa million 60 na kitu anapata fasta na uzuri ana kiwanja kikubwa sqm 900 tayar kipo still yuko 27 namwambia hapo hana mtoto bado ila nawambia unaweza kujenga fasta hata noma by mwakani ukapata mtoto hata na miaka 28 fresh sasa ukijifanya mtu wa wanawake wengi utakuja kujuta uko katika umri sahihi kujenga kwa rahisi.Kama utakuwa umejiwekeza vizuri, inakuwa na unafuu
Ndo ile mshahara unaisha wote ndani ya mwezi ,ni jambo la hatar kila emergency unaenda kukopa.Familia inakuwa ni tegemezi, haizalishi, inabidi baba apambane familia isimame na kuishi
Kibongo bongo ni sawa kabisaUnaweza kukuta mtu ana watoto wanne mjini, wawili wa kike na wawili wa kiume halafu wanaishi nyumba ya vyumba vitatu!
Ni vizuri, kufanya mapema kabla ya majukumu kuwa mengiYeap kaka haya mambo tunayakimbilia ili tuje kulaumu eti mipango ya mungu wakati unaweza kutulia ,,,kuja jamaa alinifuata ana kazi nzuri hata akitaka mkopo wa million 60 na kitu anapata fasta na uzuri ana kiwanja kikubwa sqm 900 tayar kipo still yuko 27 namwambia hapo hana mtoto bado ila nawambia unaweza kujenga fasta hata noma by mwakani ukapata mtoto hata na miaka 28 fresh sasa ukijifanya mtu wa wanawake wengi utakuja kujuta uko katika umri sahihi kujenga kwa rahisi.
Hiyo ni roughly tu amepiga ila ina-make sense maana ukinunua mkate mkubwa Tsh 3,000/= mara mwezi bei gani?hujaweka sukari,mchana wale usiku wale kwa hesabu za haraka haraka kwa siku kukata 20K siyo issue.chai elf 25 labda masaki...
mkate moja mkubwa wa elf 2 unatosha vizuri tu
Ikifikia hatua kipato kinakata mapema, na kuanza kukopa; inabidi kujitathmini upyaNdo ile mshahara unaisha wote ndani ya mwezi ,ni jambo la hatar kila emergency unaenda kukopa.
Ndio maana wenzetu wanakuwa na watoto wachache; hakuna cha babu wala bibi.Hiyo ni roughly tu amepiga ila ina-make sense maana ukinunua mkate mkubwa Tsh 3,000/= mara mwezi bei gani?hujaweka sukari,mchana wale usiku wale kwa hesabu za haraka haraka kwa siku kukata 20K siyo issue.
Maisha ni hatari sana ukiyaangalia juu juu tu kwa sababu unapata kiasi fulani cha pesa kwa siku ukadhani ndo ilivyo utaumia.
Ulitaka vyumba vingapi ?.Unaweza kukuta mtu ana watoto wanne mjini, wawili wa kike na wawili wa kiume halafu wanaishi nyumba ya vyumba vitatu!
Mkuu njoo Magomeni, familia ina watoto watatu, wawili wa kiume, mmoja wa kike na wana chumba kimoja,Unaweza kukuta mtu ana watoto wanne mjini, wawili wa kike na wawili wa kiume halafu wanaishi nyumba ya vyumba vitatu!
Maisha yanachangamoto sana mkuu
Ulitaka vyumba vingapi ?.
Mkuu njoo Magomeni, familia ina watoto watatu, wawili wa kiume, mmoja wa kike na wana chumba kimoja,
Iko hivi.
Chumba kimetengwa kwa pazia, upande mmoja baba na mama,
Upande wa pili mtoto wa kike,(binti )
Watoto wa kiume wanalala ukumbuni, (yani chumba kirefu)
Uswahilini ni zaidi ujuavyo
Mazoezi ya pushapu yakianza hapo inakuwaje?Mkuu njoo Magomeni, familia ina watoto watatu, wawili wa kiume, mmoja wa kike na wana chumba kimoja,
Iko hivi.
Chumba kimetengwa kwa pazia, upande mmoja baba na mama,
Upande wa pili mtoto wa kike,(binti )
Watoto wa kiume wanalala ukumbuni, (yani chumba kirefu)
Uswahilini ni zaidi ujuavyo
Nyama wanakula kiasi gani?Sawa. Tumekusoma ndugu! Ila hayo matumizi ya shilingi elfu 70 kwa siku kwa familia ya 6 ni makubwa mno kwa familia ya kipato cha kati. Elfu 25 inatosha kwa siku moja.
Wenzetu waliona mbali, ingawa kuzaa wachache pia ni dalili ya uchoyoNi vyema kutozaa zaidi ya watoto wawili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeeeh sanaaaaMkuu njoo Magomeni, familia ina watoto watatu, wawili wa kiume, mmoja wa kike na wana chumba kimoja,
Iko hivi.
Chumba kimetengwa kwa pazia, upande mmoja baba na mama,
Upande wa pili mtoto wa kike,(binti )
Watoto wa kiume wanalala ukumbuni, (yani chumba kirefu)
Uswahilini ni zaidi ujuavyo