Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Mafuta ya elfu 5 yananipa hadi elfu 30. Mimi huendesha pikipiki some days nikiwa na mizunguko yangu town. Napiga misele sana na mafuta ya buku 5.
 
Eti kama Zakaria alivyo mkimbiza TISS, ila yule mkurya ni mpambanaji, asante sana kwa kunifahamisha, nashukuru ubarikiwe ngoja nikalifanyie mchakato maana kodi zinaongezeka kila leo, ukienda tu kadirio jipya hii inatia hasira sana., ila hili unabidi uwe na fremu ambayo haizidi 50,000?! Ukikaa kwenye fremu ya laki mbili italeta msala.
 
Kuna wakat biashara ni zaidi ya pesa unayo weka kama mtaji
 
mimi frem nalipa 300k per month

walikuja wakaniuliza nikawambia kabla ya kuingia nilikua na hela kweli

so nililipa kodi ya miaka 7 ili kuepuka usumbufu maana hii frem tulikua tunaigombania watu kama 28

wakaniambia niwape mkataba,nikaenda waletea mkataba nilisha u draft kodi nimeweka inaisha 2025 november 29

so usiogope we kaa frem yyte ile then wakija wambie frem nimelipia kodi miaka hiyo nilipokuaga na mkwanja

saivi nishafilisika,unawapa maneno kibaooo unawambia unaona mashelfu haya yote nilikua nimejaza mzigoooooo

nishafilisika ebu msinitie simanzi ondokeni bwanaaaa then unawatimua kwa hasira
 
Heshima yako mkuu, barikiwa sana.
 
HAPANA mkuu nakataa,, maana ingekua ni hivo basi bakery zingekua zimefungwa coz ndio kazi Yao hiyo, na pia huwezi kusema ni biashara ya hasara ilihali ulaji wa mtanzania kwa kiwango kikubwa unategemea bidhaa za ngano
mkuu naendaga nunua mandazi bakery najutaga

mandazi unayala unaskia kabisa hii taste ni andazi la mwaka juzi
 
Nawaonaga watoto wakikuchukulia poa wakati una uwezo wakuwaweka

Ndani mwezi mzima wakala wakanywa na simu zako zisikose vocha

na wakawa wanapishana choooni kama vile wanafunzi wanaofatilia mkopo wizarani.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ifanye kuwa siri
 
Wako humu wanakusoma tu mkuu
 
Usichoke Mkuu
 
Hii ya nguruwe ina faida,,mh ila kuchinja nguruwe inataka moyo,,kichefuchefu kweli kweli
 
mkuu kuwekeza 10m kwenye uber au 7m kwenye bajaji then ukawa unakusanya 20k to 30k kwa siku huo ni udhaifu wa akili labda kama unaendesha mwenyewe, kwa mtaji huo mimi nakusanya zaidi ya 150k mpaka 300k per day kama faida
Ungeshusha nondo mkuu unawezaji kuingiza hiyo 150k sasa kwa mil 7-10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…