Carnivora
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,650
- 6,015
Mafuta ya elfu 5 yananipa hadi elfu 30. Mimi huendesha pikipiki some days nikiwa na mizunguko yangu town. Napiga misele sana na mafuta ya buku 5.
Unaonyesha unaongea kitu usicho na uzoefu nacho
unaongea stori za kuambiana huko...
nijibu hili swali then ndipo tuendelee na Ligi maana unaonyesha unataka ligi
mafuta ya 5000 yanaweza kukupa sh ngapi kwenye Boda boda??
Assume piki piki haina mafuta kabisa then mtu akaenda sheli akakuekea kwenye tank mafuta ya 5000
Niambie mpk yale mafuta yanaisha yatakupa sio chini ya sh ngapi????
Naomba jibu..