Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Na ndio maana pamoja na kwamba tunapanda juu ktk vigezo vya nchi ambazo zina mazingira rahisi ya kufanya biz lkn bado vikwazo kama hivi kwa kweli vinatuangusha.

 
Hapo chini gawanya kwa siku 31 za August. Halafu hiyo ofisi moja ziko tatu hizo zenye performance inayo karibiana. Uzuri ni kwamba hizi wala hazina kazi nimechanganya na stationeries zinaingiza zaidi kuliko hizo kila moja.View attachment 1247447
hawa voda na tgo mbna wamepunguza kias cha commision lakn naona ww hapo unafikisha hadi 400k unafanyj fanyaje asee
 
Na ndio maana pamoja na kwamba tunapanda juu ktk vigezo vya nchi ambazo zina mazingira rahisi ya kufanya biz lkn bado vikwazo kama hivi kwa kweli vinatuangusha.
Sana na ajabu waliopewa dhamana hakuna anae ona kama kuna vitu vidogo sana lakini ni mzigo mzito sana kwa wafanyabiashara, hawaangalii kwa nini kila mtu anataka kuwa mmachinga wanapiga makofi tu.
 
ndo mana tunasema watanzania tuna roho ya uchoyo sana yaan jamaa kaamua kutuahirikisha biashara yake sisi wote afu ww unasema aku PM peke yako.....angekuwa mchoyo hvo angeandka hapa jukwaan?
 
Sasa siku ukipata lost inakuwaje let say labda ndani ya siku 10.
Au ndani ya mwezi ww ni won tu?@Crumpy Crumper,
 
hawa voda na tgo mbna wamepunguza kias cha commision lakn naona ww hapo unafikisha hadi 400k unafanyj fanyaje asee
Mzunguko mtu mkuu, tena hapo nilikuwaga wateja wa voda nawakataa wanaoutuma mbali. Ila mwezi huu sichague muamala yesterday night niliacha above hizo figure na hata tigo ziko over 500k karibu katika ofisi zangu zote. Tunapeana hamasa ili muamasike na mchukue hatua.
 
biashara gan unafanya
mkuu kuwekeza 10m kwenye uber au 7m kwenye bajaji then ukawa unakusanya 20k to 30k kwa siku huo ni udhaifu wa akili labda kama unaendesha mwenyewe, kwa mtaji huo mimi nakusanya zaidi ya 150k mpaka 300k per day kama faida
 



Kuna dogo alifnikiwa sana miaka miwili ya hapa juzi2016had leo hii ni succesful...kumbe bwana anaamini waganga...!anaaminishwa aishi na mwanamke umri wa mama mzaz!

Kufupisha stry huyo bibi amekwazana naye walifumaniana sijui...dogo alikia ana zaidi ya bodaboda 22...!jana ameziuza zote kwa bei ya 700k!
Anasema mganga amemwambia auze hela amplekee akaifanyie ndumb😅!hv ndo anavyoamini yy...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…