Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

then unawatimua kwa hasira

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaah we mwamba n noma[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama unataka mtaji wa 30k-50k means kwa mwezi unakusanya 900k-1.5M
Basi jua iyo biashara ni kubwa inahitaji capital ya kuanzia 5M-10M na kuendelea

Kumbuka pikipiki kama boda boda na bajaji zinauzwa bei mkasi sana mfano boda boda 2.5M na wanarejesha kila siku 8000-10,000
Hivyo hivyo Bajaji inauzwa 7M wanarejesha kila siku 15,000-18,000

Uber yaani gari kama IST au tufanye vitz inacost approximatel 9M-13M
Wanarejesha 25k-30k

Hivyo unaweza ukachanganua ulicho nacho mfukoni kwako utaelewa iyo faida ya kila siku 30-50 unahitaji kuweka pesa kiasi gani

Na log out

Nimekupenda Bure
 
Mimi ya kwangu tigo haijawahi kuvuka 200k voda ndio kabisaa 70k
Mzunguko mtu mkuu, tena hapo nilikuwaga wateja wa voda nawakataa wanaoutuma mbali. Ila mwezi huu sichague muamala yesterday night niliacha above hizo figure na hata tigo ziko over 500k karibu katika ofisi zangu zote. Tunapeana hamasa ili muamasike na mchukue hatua.View attachment 1248914
Ofisi zako zipo maeneo gani mkuu?

Kuna jamaa yangu anaofisi yake moja anapiga kazi hadi kaweka madirisha matatu kama bank,mlinzi,n.k
 
Mzunguko mtu mkuu, tena hapo nilikuwaga wateja wa voda nawakataa wanaoutuma mbali. Ila mwezi huu sichague muamala yesterday night niliacha above hizo figure na hata tigo ziko over 500k karibu katika ofisi zangu zote. Tunapeana hamasa ili muamasike na mchukue hatua.View attachment 1248914
Duh kweli aiseee maisha hayapo Sawa yaani mimi ukichanganya kamisioni zamitandao yote haifiki hiyo laki 5.
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji119][emoji119][emoji119]
Wengine tunapiga mikeka tu, BETTING [emoji3],

Mtaji kuanzi jero 500

Siku ikienda poa utajikuta unagawa elf tano tano kwa aliyekusogelea

NB: We kama hufatilii mpira usije kabisa huku,,

Kwa maelezo zaidi tembelea ule uzi Wazee wenzangu wa kubeti uko humu jf[emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] huku unaweza kustaafu kazi @ age ya 30s,unapiga mkwanja wa mafao kabisa[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Bei inategemea na quality ya beli nililofungua kwa mfano nguo za watoto kila moja inakuwa na bei yake. Ila viblause naweza kuanzia 10,000 kwa kimoja vikishachaguliwa sana nashusha nafanya 5000. Magauni naanzia 10,000 - 15,000 na unakuta beli la magauni linakuwa na kg 100 hivyo nguo no nyingi
beli 1 tuseme nguo za watoto unaweza kukutana na Pair ngapi?
 
Back
Top Bottom