Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Hivi kwenye ule upepo wakisulisuli hakuwepo kweliii
Nilikuwepo! Na sijapata bado had sasa!sitoki huku mlima wa moto had kieleweke mkuu😍
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwenye ule upepo wakisulisuli hakuwepo kweliii
Binafsi huwa sihesabu kwa pair mimi nahesabu piece moja moja yaani nikifungua nahesabu napata may be nguo 200 au 250. Pia inategemea na aina ya nguo kwa mfano nilifunguaga viblause vya shifon nikapata pieces 400 si unajua shifon hazina uzito? na ni nyepesi hivyo zinaingia nyingi maana wanapima kwa uzito mabeibeli 1 tuseme nguo za watoto unaweza kukutana na Pair ngapi?
Hii commission umeipata baada ya kuzungusha kiasi gani cha mtaji? Mfano mtu aliyezunguza jumla ya sh 3,000,000/= kwa mwezi commission yake kwa mwezi inaweza kuwa kiasi gani?Mzunguko mtu mkuu, tena hapo nilikuwaga wateja wa voda nawakataa wanaoutuma mbali. Ila mwezi huu sichague muamala yesterday night niliacha above hizo figure na hata tigo ziko over 500k karibu katika ofisi zangu zote. Tunapeana hamasa ili muamasike na mchukue hatua.View attachment 1248914
nilikua namaanisha hivyoBinafsi huwa sihesabu kwa pair mimi nahesabu piece moja moja yaani nikifungua nahesabu napata may be nguo 200 au 250
Nimekuongezea hapo juu ya viblause vya shifonnilikua namaanisha hivyo
asante kwa jibu mkuuu
Hii kitu anayifanya jamaa ku-loss kupo ila ni mata chache sana kama utatembelea Big Timu ambazo kwa mwezi inaweza poteza mara 1 tu . mfano Man City na Barca.Sasa siku ukipata lost inakuwaje let say labda ndani ya siku 10.
Au ndani ya mwezi ww ni won tu?
Biashara hii haingalii wingi wa fedha ulizo nazo, inategemea sana mzunguko wa fedha kwa eneo husika. Kuwa na fedha nyingi kunakupa faida ya ziada kwa maana hakuna hela ya mteja utakayoikosa na kingine miamala ya fedha nyingi ndio yenye commission kubwa.Hii commission umeipata baada ya kuzungusha kiasi gani cha mtaji? Mfano mtu aliyezunguza jumla ya sh 3,000,000/= kwa mwezi commission yake kwa mwezi inaweza kuwa kiasi gani?
Hahahaha, kweli mjiniMjini hapa
Nilikuwepo! Na sijapata bado had sasa!sitoki huku mlima wa moto had kieleweke mkuu[emoji7]
Hapo kwenye Maziwa funguka kidogo
[/nanunua fresh nagandisha nauza mtindi
kama kuna uhakika wa wateja tuzame chimbon....kwa sababu nshapata producer(wewe) na consumer (wale wateja)[emoji3]Yeah..na wengine wa kuwatumia mikoani..
Na uwe mvumilivu maana kuna wale wateja wa kumpelekea mzigo alipo mfano eneo la makutano ni kituoni umefika kituoni mwenzio anafika baada ya nusu saa.
Watu wengi wanaweza kununua ama kutengeneza bidhaa ishu kufikia wateja na kuwapa huduma stahiki .mm nanunua samaki nakaanga napita mlango kwa mlango mtaa kwa mtaa..ila biashara hii mwanzoni unaweza kulia ila ukishapata wateja ni mteremkoLeta link ya huo uzi wako ili tujifunze samaki unachukua wa aina gani na unachukuliwa wapi
Biashara hii haingalii wingi wa fedha ulizo nazo, inategemea sana mzunguko wa fedha kwa eneo husika. Kuwa na fedha nyingi kunakupa faida ya ziada kwa maana hakuna hela ya mteja utakayoikosa na kingine miamala ya fedha nyingi ndio yenye commission kubwa.
Kila ofisi yangu moja nimeweka 8m.
manengelo mm sjakuelewa mana umesema uko free kusafiri popote afu bado unaitaman bahati ya yule rafiki yako (kulilia kuolewa) sasa ukiolewa utakuwa free kusafiri popote kweli?
Sasa mkuu Salio linapokata siinakubidi ulitafute? Hii biashara unaweza ukawa namtaji mdogo kwamfano wamilioni moja ila kwasiku mzunguko wako ukawa wamilioni 5 so inategemeana naeneo ulipo naushapu wakomiamala ya fedha nyingi ndio yenye commission kubwa.
hii imekaaje mkuu,, mm nshawahi fanya mpesa mwaka jana ila cha nlikua napata commisin ndogo mnooo yaan unakuta kamishen ya elfu sta (aaah nkaamua kuuza lain ile) mana sometime mteja anakuja anahtaji kutuma 500k ...unamtumia afu salio lote linakata kufika mwisho wa mwez unakuta comission 4000
#miamala ya fedha nyingi ndio yenye commission kubwa#
sawa sawaSasa mkuu Salio linapokata siinakubidi ulitafute? Hii biashara unaweza ukawa namtaji mdogo kwamfano wamilioni moja ila kwasiku mzunguko wako ukawa wamilioni 5 so inategemeana naeneo ulipo naushapu wako
nmekusoma,,,, vp lakn mashimo yanatema huko niunge tela au nikomae tu na dadangu yna2 tuendelee kuwakoboa dada zetu wqnaoutaka uzungu?[emoji4]Hapana hujaelewa..yy hana familia hana mume..hana mtu anayetakiwa kumsikiliza asemayo[emoji28]!mimi siko free as u think mkuu! Means kama nataka kwenda tuseme Sudan kuna chimbo limewaka si itabid nianze kuomba ruhusa?kuna biashara ukiwa ndoani hiwez kuzifanya itakikanavyo!tunafoji tu kibishi bishi!
okHukunielewa, umeshamaliza vyote ulivyotaja M moja ni ya dawa tu!