Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

beli 1 tuseme nguo za watoto unaweza kukutana na Pair ngapi?
Binafsi huwa sihesabu kwa pair mimi nahesabu piece moja moja yaani nikifungua nahesabu napata may be nguo 200 au 250. Pia inategemea na aina ya nguo kwa mfano nilifunguaga viblause vya shifon nikapata pieces 400 si unajua shifon hazina uzito? na ni nyepesi hivyo zinaingia nyingi maana wanapima kwa uzito mabei
 
Mzunguko mtu mkuu, tena hapo nilikuwaga wateja wa voda nawakataa wanaoutuma mbali. Ila mwezi huu sichague muamala yesterday night niliacha above hizo figure na hata tigo ziko over 500k karibu katika ofisi zangu zote. Tunapeana hamasa ili muamasike na mchukue hatua.View attachment 1248914
Hii commission umeipata baada ya kuzungusha kiasi gani cha mtaji? Mfano mtu aliyezunguza jumla ya sh 3,000,000/= kwa mwezi commission yake kwa mwezi inaweza kuwa kiasi gani?
 
Sasa siku ukipata lost inakuwaje let say labda ndani ya siku 10.
Au ndani ya mwezi ww ni won tu?
Hii kitu anayifanya jamaa ku-loss kupo ila ni mata chache sana kama utatembelea Big Timu ambazo kwa mwezi inaweza poteza mara 1 tu . mfano Man City na Barca.
 
Hii commission umeipata baada ya kuzungusha kiasi gani cha mtaji? Mfano mtu aliyezunguza jumla ya sh 3,000,000/= kwa mwezi commission yake kwa mwezi inaweza kuwa kiasi gani?
Biashara hii haingalii wingi wa fedha ulizo nazo, inategemea sana mzunguko wa fedha kwa eneo husika. Kuwa na fedha nyingi kunakupa faida ya ziada kwa maana hakuna hela ya mteja utakayoikosa na kingine miamala ya fedha nyingi ndio yenye commission kubwa.

Kila ofisi yangu moja nimeweka 8m.
 
Leta link ya huo uzi wako ili tujifunze samaki unachukua wa aina gani na unachukuliwa wapi
Watu wengi wanaweza kununua ama kutengeneza bidhaa ishu kufikia wateja na kuwapa huduma stahiki .mm nanunua samaki nakaanga napita mlango kwa mlango mtaa kwa mtaa..ila biashara hii mwanzoni unaweza kulia ila ukishapata wateja ni mteremko
 
miamala ya fedha nyingi ndio yenye commission kubwa.

hii imekaaje mkuu,, mm nshawahi fanya mpesa mwaka jana ila cha nlikua napata commisin ndogo mnooo yaan unakuta kamishen ya elfu sta (aaah nkaamua kuuza lain ile) mana sometime mteja anakuja anahtaji kutuma 500k ...unamtumia afu salio lote linakata kufika mwisho wa mwez unakuta comission 4000
#miamala ya fedha nyingi ndio yenye commission kubwa#
Biashara hii haingalii wingi wa fedha ulizo nazo, inategemea sana mzunguko wa fedha kwa eneo husika. Kuwa na fedha nyingi kunakupa faida ya ziada kwa maana hakuna hela ya mteja utakayoikosa na kingine miamala ya fedha nyingi ndio yenye commission kubwa.

Kila ofisi yangu moja nimeweka 8m.
 
manengelo mm sjakuelewa mana umesema uko free kusafiri popote afu bado unaitaman bahati ya yule rafiki yako (kulilia kuolewa) sasa ukiolewa utakuwa free kusafiri popote kweli?

Hapana hujaelewa..yy hana familia hana mume..hana mtu anayetakiwa kumsikiliza asemayo😅!mimi siko free as u think mkuu! Means kama nataka kwenda tuseme Sudan kuna chimbo limewaka si itabid nianze kuomba ruhusa?kuna biashara ukiwa ndoani hiwez kuzifanya itakikanavyo!tunafoji tu kibishi bishi!
 
miamala ya fedha nyingi ndio yenye commission kubwa.

hii imekaaje mkuu,, mm nshawahi fanya mpesa mwaka jana ila cha nlikua napata commisin ndogo mnooo yaan unakuta kamishen ya elfu sta (aaah nkaamua kuuza lain ile) mana sometime mteja anakuja anahtaji kutuma 500k ...unamtumia afu salio lote linakata kufika mwisho wa mwez unakuta comission 4000
#miamala ya fedha nyingi ndio yenye commission kubwa#
Sasa mkuu Salio linapokata siinakubidi ulitafute? Hii biashara unaweza ukawa namtaji mdogo kwamfano wamilioni moja ila kwasiku mzunguko wako ukawa wamilioni 5 so inategemeana naeneo ulipo naushapu wako
 
sawa sawa
 
Hapana hujaelewa..yy hana familia hana mume..hana mtu anayetakiwa kumsikiliza asemayo[emoji28]!mimi siko free as u think mkuu! Means kama nataka kwenda tuseme Sudan kuna chimbo limewaka si itabid nianze kuomba ruhusa?kuna biashara ukiwa ndoani hiwez kuzifanya itakikanavyo!tunafoji tu kibishi bishi!
nmekusoma,,,, vp lakn mashimo yanatema huko niunge tela au nikomae tu na dadangu yna2 tuendelee kuwakoboa dada zetu wqnaoutaka uzungu?[emoji4]
 
Back
Top Bottom