mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Na ndio maana pamoja na kwamba tunapanda juu ktk vigezo vya nchi ambazo zina mazingira rahisi ya kufanya biz lkn bado vikwazo kama hivi kwa kweli vinatuangusha.
Hii w/holding tax serikali inabidi iitoe tu maana ni wizi, unamkata mtu kodi unamwambia mwenye nyumba atairudisha, anairudishaje? na wengi hawarudishi maana wanakuwa wamelipa kodi ya jengo hivyo kurudisha hiyo kodi kwa mpangaji ni kumuumiza zaidi, huu mpango JPM inabidi aingilie kati.