Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Sasa unasubiri nini...nenda kwa waganga huko vijijini wakakupe ubilionea...wanahitaji kuku tu mkuu
Wewe kuna vitu unachanganya.

Binafisi nimekaa pangani hizi mambo za uchawi nimeona viashilia vyake, na baadhi ya watu hayo maeneo wana-practice uchawi kwenye biashara kwa kuwatoa watoto wao kafala na wengine kupewa masharti ya kutolala nje ya ndoa, so uchawi upo kwenda chuo sio kuwaondoa wachawi duniani. Kufanya wanafanya wasomi na wasio wasomi.
 
Binafsi siamini kama biashara zako zinaweza fanikiwa kwa kupitia ushirikina...hicho ndo nachopinga...kuna waganga wa kienyeji wamevamia huu uzi kutafuta wateja
 
ila sasa mzee baba je kama nnataka nkafanye ile hat trick ya kuua TIN .....kama nisipokua nacho hiki si ndo wale WANAFUNZ WA CHUO watansumbua sasa wakija kwny office yangu
Achana navyo mkuu havina dili saivi

wengine tulichukua kujificha tu ila havina issue yyte

usipoteze hela yako kununua..

ila kama umedhamiria "nenda ofisi ya serikali yako ya mtaaa utavikuta vyakutosha"
 
This is true biashara ya Uber/Taxify inaingiza 25k to 30k per day mi na gari mbili napata 50k per day minus expenses.. Ndio biashara nayofanya
Mze baba mi nataka ninunue bajaji niache kazi then niendeshe nwenyewe nipe ushauri wako location nibayoitaget ni Dodoma
 
Nimewahi kutoa uzi kuhusu samaki na maziwa. Miminatumia mtaji wa 60000 kwa siku usafiri 4000 nakunja 33000 kwa siku kama faida
Mkuu samahani nipe link ya huo uzi!!! Nipitie natanguliza shukrani
 
Mkuu upo mkoa gani?
 
Mmmmh sasa huyo alifanikiwaje akiwa na akili za kijinga hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…