wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kuna vitu unachanganya.Sasa unasubiri nini...nenda kwa waganga huko vijijini wakakupe ubilionea...wanahitaji kuku tu mkuu
Mm nlijia ata mjini waganga wapo kumbe ni vijijini tu mkuu, enhee nibebe kuku nann?Sasa unasubiri nini...nenda kwa waganga huko vijijini wakakupe ubilionea...wanahitaji kuku tu mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wasomi ndio maana biashara zinawashinda mna Mambo mengi km unga wa ngano .
kazi/biashara yeyote inayokuingizia kipatoVitambulisho vya machinga vinafanya kazi kwa mafundi, au watu wanao repair vifaa kama simu, computer na kadhalika au ni kwa wauza bidhaa tuu?
Kawaulize hao vigagula mnaowaamini kuwa watawapa ubilioneaMm nlijia ata mjini waganga wapo kumbe ni vijijini tu mkuu, enhee nibebe kuku nann?
Binafsi siamini kama biashara zako zinaweza fanikiwa kwa kupitia ushirikina...hicho ndo nachopinga...kuna waganga wa kienyeji wamevamia huu uzi kutafuta watejaWewe kuna vitu unachanganya.
Binafisi nimekaa pangani hizi mambo za uchawi nimeona viashilia vyake, na baadhi ya watu hayo maeneo wana-practice uchawi kwenye biashara kwa kuwatoa watoto wao kafala na wengine kupewa masharti ya kutolala nje ya ndoa, so uchawi upo kwenda chuo sio kuwaondoa wachawi duniani. Kufanya wanafanya wasomi na wasio wasomi.
Mkuu nakutafta inboxNaagiza kutoka Dar
msingi wa post n biashara yenye kulaza 30k na sio uhalali au uharamu.....kwa hyo iwe halali au haramu, kama inaingiza 30k to 50k we taja tuUnaruhusu kutaja hata biashara haramu..? Maana zipo za mtaji buku 10 tu,inaleta 30k+
Achana navyo mkuu havina dili saivi
wengine tulichukua kujificha tu ila havina issue yyte
usipoteze hela yako kununua..
ila kama umedhamiria "nenda ofisi ya serikali yako ya mtaaa utavikuta vyakutosha"
Mze baba mi nataka ninunue bajaji niache kazi then niendeshe nwenyewe nipe ushauri wako location nibayoitaget ni DodomaThis is true biashara ya Uber/Taxify inaingiza 25k to 30k per day mi na gari mbili napata 50k per day minus expenses.. Ndio biashara nayofanya
Msomi wapi hyo hta kuandika hajui!Kama hadi msomi kama wewe unaamini imani za kishirikina,basi kama taifa tuna safari ndefu sana
Mkuu samahani nipe link ya huo uzi!!! Nipitie natanguliza shukraniNimewahi kutoa uzi kuhusu samaki na maziwa. Miminatumia mtaji wa 60000 kwa siku usafiri 4000 nakunja 33000 kwa siku kama faida
Mkuu upo mkoa gani?Sasa Ongeza Na Ujuzi Wa Laptop
Kwa Siku utalala Na 200k
Mimi Nipo Huku Mkoan Napata Hadi 200k Per Day Nafanya Computer Na Simu
Sema Nina Vifaa Haswaa Ofisi Yangu Kam Mahabara Nina Mpak Microscope Nilinunua Ebay 1.2M Mpaka NIpata.
Now Nipo Namalizia Kupaua Ndugu.
WOTE MSIO NA AJIRA LAKIN UNAPENDA ELECTRONICS KOMAA NA COMPUTER AND PHONE REPAIR UTANIKUMBUKA
UPDATES:
Watu wananifuata PM Wananiuliza Watajifunzaje, Jamani Hivi Vitu Ni Practical Sana, Unahitaji Basic Knowledge Tu.
Na Yote Ipo Kwenye INTERNET Sijawahi Kufundishwa na Mtu Kuhusu Electronics Au Software Za Simu Na Laptop
Ni Kujifunza Then Unharibu Unasimama Mpaka Mwisho
Nilishazima Simu Kama 20 Za Watu, Ni Kweli Lakini Huwez Amin Kipind Hicho Nilijifunza Sana.
USIOGOPE, JITOE ANZA KUJIFUNZA.
Pita Hapa Upate Mwangaza Kidogo
Ushauri, maoni na mbinu za biashara ya ufundi simu na Computer
Habari Zenu Wakuu, Natumaini Leo Mko Vyema. Lengo La Nyuzi Hii Ni Kupeana Ushauri, Maoni Na Mbinu Za Uthubutu Katika Biashara Ya Ufundi Simu Na Laptop Kwanza Mimi Ni Mmoja Wa Mafundi Waliojifunza Na Ku Master Phone And Laptop Repair Kutoka Google Na Youtube, Yaani Self Made Technician...www.jamiiforums.com
Mtwara BossMkuu upo mkoa gani?
unawezajeMimi kamtaji kangu ni 60m kwa siku nakunja 300,000 iliyosimama
Mmmmh sasa huyo alifanikiwaje akiwa na akili za kijinga hivyoKuna dogo alifnikiwa sana miaka miwili ya hapa juzi2016had leo hii ni succesful...kumbe bwana anaamini waganga...!anaaminishwa aishi na mwanamke umri wa mama mzaz!
Kufupisha stry huyo bibi amekwazana naye walifumaniana sijui...dogo alikia ana zaidi ya bodaboda 22...!jana ameziuza zote kwa bei ya 700k!
Anasema mganga amemwambia auze hela amplekee akaifanyie ndumb[emoji28]!hv ndo anavyoamini yy...!
unawezaje