Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Ukiwa na mtaji wa 350k almost $150+ bac unaweza kutengeneza zaid ya 30k kwa siku, tafuta wataalamu wa crypto na forex ufundishwe huko ndo hela iko utakuza capital yako mpaka utashangaa cha msing tu usiwe na tamaa sana na uwe na risk management tena saivi kama ukitrade v75 kama unaijua vizuri bac kwa cku unaingiza hela ambazo hukuwai kuzania kama utaingiza per day hii kutokana na mtaj wako
 
Huogopi dhambi mkuu?[emoji28]
 
Ulikua unaifanyaje??
 
Hii inafanyikaje mkuu
 
25 -30
 
Binafsi siamini kama biashara zako zinaweza fanikiwa kwa kupitia ushirikina...hicho ndo nachopinga...kuna waganga wa kienyeji wamevamia huu uzi kutafuta wateja
Kumbe unaamini wapo ila huamini madhara yao katika biashara? basi usimshangae huyo jamaa kuamini uchawi upo kama na wewe unaamini upo. Hii ndo ilikua point.

Kuamini na kutekeleza uchawi hivyo ni vitu viwili tofauti.
 
Mtaji lazina uwe zaidi ya 6/7m.. ukinunua bajaji 7.2m na kuitoa mkataba wa miezi 10.. kila siku anakuletea hesabu ya 30k.. na service kwake ww ni hesabu tuu
Hiyo 30 per day kufika hapo ulipotoa cash milion 7 mfukoni itachukua muda gani??
Kumbuka unapotoa 7milion mfukoni tayari ulikuwa nayo hiyo 7milion, ukianza kuingiza 30 per day sio 7m tena
 
Mkuu, hivi mtu aliyetumia ndom huwa anaiacha tu chumbani/chooni mpaka ichukuliwe na mfanya usafi? Mi nadhani asilimia zaidi ya 80 huwa wanazitupa chooni tu!
Wakuu, hebu leteni experience zenu ktk jambo hili
Aaaaah Aaaaah Mkuu Ndomu Hazitupwi Toileta Tulikuwa Tunazichoma Na Kufukia Shimo Liko Nyuma Ya Lodge
 
Mkuu, hivi mtu aliyetumia ndom huwa anaiacha tu chumbani/chooni mpaka ichukuliwe na mfanya usafi? Mi nadhani asilimia zaidi ya 80 huwa wanazitupa chooni tu!
Wakuu, hebu leteni experience zenu ktk jambo hili
Ndio Mkuu, Hata Shuka Watu Wanaziacha Mpaka Na Mavi Inabid Ufue Tu, Mim Hapa Palinishinda Mkuu Ikabid Atafutwe Mzee Mmoja Awe Anafua Nikakatwa Mshaara Nikawa Nalipwa Laki
 
Mtaji lazina uwe zaidi ya 6/7m.. ukinunua bajaji 7.2m na kuitoa mkataba wa miezi 10.. kila siku anakuletea hesabu ya 30k.. na service kwake ww ni hesabu tuu
Mhh hizi hesabu mkuu haziko sawa.
Hesabu 30k x 30= 900,000/= monthly

Mara miezi ya mktabu
900,000 x 10= 9,000,000/= Jumla ya pato ktk muda wa mkataba

Toa gharama za manunuzi
9,000,000- 7,200,000/=1,800,000/=

Faida uipatayo kwa siku
1,800,000/(30x10)= 6,000/= kwa siku.

Hii sio biashara ni hasara. 7m kukupa faida ya 6k ni ovyo kabisa.
 
Ndio Mkuu, Hata Shuka Watu Wanaziacha Mpaka Na Mavi Inabid Ufue Tu, Mim Hapa Palinishinda Mkuu Ikabid Atafutwe Mzee Mmoja Awe Anafua Nikakatwa Mshaara Nikawa Nalipwa Laki
Hahaha walikuwa wanatumia 071....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…