Sweta LA Tanzania
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 897
- 2,835
Shusha madini mkuu sasa ni inshu gani izoni udhaifu wa akili na mawazo kutoa 7m ili uingize 20k au 30k ni ujinga... wakati kipindi hicho wenzako wana mtaji wa 400k na kila siku wanakunja 250k kama faida
Mkataba wao na wewe upoje boss? Je boda umeifunga tracker incase ikiibiwa? Natamani kufanya hii ila napata ka uoga flan hiviNina boda boda mbili zinanipatia 20,000 per day. Mpaka sasa bado sijaonja mbichi ya hii bizne sijui huko mbeleni. Nimepanga hadi December nafunga mwaka na boda nane.
Kikubwa nilichobaini ni kuwajali hawa boda yaani usiwe siriaz sana siku aki dash we chukulia poa mwambie Ata adjust next day. Yaani ukiwa boss poa utaenda nao sawa tu.
Mkataba upoje? Na boda anailaza kwako au unamuachia alale nayo?Mkuu hii biashara ukiwauliza watu humu wanakatisha sana tamaa eti bodaboda ni pasua kichwa
Kiuhalisia kumbe sio, mimi tangu januari ninayo inaniletea hesabu ya 8000 kila siku
Kikubwa ni kuwa boss tu akidash siku moja mbili atajazia tu siku za mbele na kazi inaenda poa
Mwenyewe hapa natamani niongeze boda ya pili
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nayo Kali nimeipendaNiliwahi kuwaza kuwa;
Unaenda kwa mama ntilie na laki moja unaongea nae umpe laki moja ili aongeze mtaji na kuboresha huduma... Ila ww unachotaka ni hela ya sahani moja tu kila cku (1500 mpka 2000) ndani ya mwaka mmoja...kwa mwez una 45,000/= or 60,000/= kwa mwaka una 540,000/= au 720,000/=
Sasa tufanye una milion moja.... Zungusha kwa watu kumi, jumla kwa mwaka unakusanya 5,400,000/= au 7,200,000/=
Then unafungua mghahawa wako... Huku unaendelea kununua sahani kwa akina mama..
mm daily nahakikisha nalaza ten through betting hapo nishatoa matumizi yanguWengine tunapiga mikeka tu, BETTING [emoji3],
Mtaji kuanzi jero 500
Siku ikienda poa utajikuta unagawa elf tano tano kwa aliyekusogelea
NB: We kama hufatilii mpira usije kabisa huku,,
Kwa maelezo zaidi tembelea ule uzi Wazee wenzangu wa kubeti uko humu jf[emoji3]
Ungemuuliza huyo jamaa angekupa majibu sahihiJuzi kati Niko kwa mangi kuna jamaa akaja nakibegi chake anauza vocha za aina zote jumla nikadodosa nikaambiwa yeye anatembeza mji mzima anauzia maduka n.k dah hivi mabunda ya vocha huwa yanachukuliwa branch za mitandao au maana nimewaza jamaa anamake faida ndogondogo sana ila volume kubwa kuna MTU anaijua hii adadavue kiundani
Mkataba ni makabiziano tu kwamba umemkabizi dereva pikipki, kila siku ataleta kiasi fulani basi
Mkataba wao na wewe upoje boss? Je boda umeifunga tracker incase ikiibiwa? Natamani kufanya hii ila napata ka uoga flan hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitamvizia nimuulize kwa situation hiyo siku haikuwa rahisi kumuuliza na sasa corona imepamba moto najifungia ndani tu
Juzi kati Niko kwa mangi kuna jamaa akaja nakibegi chake anauza vocha za aina zote jumla nikadodosa nikaambiwa yeye anatembeza mji mzima anauzia maduka n.k dah hivi mabunda ya vocha huwa yanachukuliwa branch za mitandao au maana nimewaza jamaa anamake faida ndogondogo sana ila volume kubwa kuna MTU anaijua hii adadavue kiundani
Biashara ya faida ndogo ukiwa na mzunguko mkubwa naona inalipa ila uvumilivu tu na mtajiDah.... Mbona biashara hatari sana hiyo
Ubaya wa vocha ni kama sigara tu
Mzigo mwepesi lakini hela ndefu,
Watu wakimjulia maisha yake yatakuwa hatarini
Sent using Jamii Forums mobile app
Je Mimi nikija inchini Tanzania nitayafaulu maisha yauko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu baki huko huko wakurugenzi uchwara tumeshafilisika.
Sikushauri hata.
Kupika maandazi kwa mkono na kuuza ni upambanaji na uthubutu aisee
Nauza mkorogo 😂😂 vifaa vinanigarimu 50000 natoa kopo 10, kila kopo nauza 25000. Kwa siku naweza kuuza kopo mbili mpk nne. Wateja Facebook na Instagram. Na business nyingine ila hii ndio inanipa faida kubwa.