Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Nina boda boda mbili zinanipatia 20,000 per day. Mpaka sasa bado sijaonja mbichi ya hii bizne sijui huko mbeleni. Nimepanga hadi December nafunga mwaka na boda nane.
Kikubwa nilichobaini ni kuwajali hawa boda yaani usiwe siriaz sana siku aki dash we chukulia poa mwambie Ata adjust next day. Yaani ukiwa boss poa utaenda nao sawa tu.
Mkataba wao na wewe upoje boss? Je boda umeifunga tracker incase ikiibiwa? Natamani kufanya hii ila napata ka uoga flan hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hii biashara ukiwauliza watu humu wanakatisha sana tamaa eti bodaboda ni pasua kichwa

Kiuhalisia kumbe sio, mimi tangu januari ninayo inaniletea hesabu ya 8000 kila siku
Kikubwa ni kuwa boss tu akidash siku moja mbili atajazia tu siku za mbele na kazi inaenda poa
Mwenyewe hapa natamani niongeze boda ya pili

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkataba upoje? Na boda anailaza kwako au unamuachia alale nayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kuwaza kuwa;
Unaenda kwa mama ntilie na laki moja unaongea nae umpe laki moja ili aongeze mtaji na kuboresha huduma... Ila ww unachotaka ni hela ya sahani moja tu kila cku (1500 mpka 2000) ndani ya mwaka mmoja...kwa mwez una 45,000/= or 60,000/= kwa mwaka una 540,000/= au 720,000/=
Sasa tufanye una milion moja.... Zungusha kwa watu kumi, jumla kwa mwaka unakusanya 5,400,000/= au 7,200,000/=
Then unafungua mghahawa wako... Huku unaendelea kununua sahani kwa akina mama..
Hii nayo Kali nimeipenda
 
Juzi kati Niko kwa mangi kuna jamaa akaja nakibegi chake anauza vocha za aina zote jumla nikadodosa nikaambiwa yeye anatembeza mji mzima anauzia maduka n.k dah hivi mabunda ya vocha huwa yanachukuliwa branch za mitandao au maana nimewaza jamaa anamake faida ndogondogo sana ila volume kubwa kuna MTU anaijua hii adadavue kiundani
 
Wengine tunapiga mikeka tu, BETTING [emoji3],

Mtaji kuanzi jero 500

Siku ikienda poa utajikuta unagawa elf tano tano kwa aliyekusogelea

NB: We kama hufatilii mpira usije kabisa huku,,

Kwa maelezo zaidi tembelea ule uzi Wazee wenzangu wa kubeti uko humu jf[emoji3]
mm daily nahakikisha nalaza ten through betting hapo nishatoa matumizi yangu
 
Juzi kati Niko kwa mangi kuna jamaa akaja nakibegi chake anauza vocha za aina zote jumla nikadodosa nikaambiwa yeye anatembeza mji mzima anauzia maduka n.k dah hivi mabunda ya vocha huwa yanachukuliwa branch za mitandao au maana nimewaza jamaa anamake faida ndogondogo sana ila volume kubwa kuna MTU anaijua hii adadavue kiundani
Ungemuuliza huyo jamaa angekupa majibu sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkataba upoje? Na boda anailaza kwako au unamuachia alale nayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkataba ni makabiziano tu kwamba umemkabizi dereva pikipki, kila siku ataleta kiasi fulani basi

Pikipiki anashinda na kulala nayo kama yake vile
Service ikitokea mnakutana mnarekebisha, kila baada ya siku 7 mnabadili oil na hapo ndio unapata wasaa wa kuikagua pikipiki pia

Kinachosumbua ni kwamba mtu akiwa na pikipiki anataka apewe hesabu na bado anataka amtumie dereva kwenye shughuli zake au atumie pikipiki yake

Ishi kiboss ukiamua ni pikipiki ya biashara acha ipige biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi nilikua muoga zaidi yako

Jitoe tu, risk zipo kila sehemu

Nunua chombo utafute bodaboda mzoefu na anayeaminika kijuwe fulani mpe kazi akutafute dereva mzuri..usikurupuke
Mkataba wao na wewe upoje boss? Je boda umeifunga tracker incase ikiibiwa? Natamani kufanya hii ila napata ka uoga flan hivi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah.... Mbona biashara hatari sana hiyo

Ubaya wa vocha ni kama sigara tu

Mzigo mwepesi lakini hela ndefu,

Watu wakimjulia maisha yake yatakuwa hatarini

Back
Top Bottom