Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Naomba nije dm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatukuombei majanga.
1.jamaa uliyempata ana malemgo yake.
2. Mshukuru Mungu.
3. Usiongeze boda boda nyingi kwa wakati mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatukuombei majanga.
1.jamaa uliyempata ana malemgo yake.
2. Mshukuru Mungu.
3. Usiongeze boda boda nyingi kwa wakati mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwagika mzee utasaidia wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba tatzo cyo kumwagika ila mko tayari? Je, ktk mazingira yenu mlipo mnaona hizo fursa na mtakubaliana na macho ya watu? Mi mpaka saiv najiuliza kuwa kwann sikuanza zamani japokuwa bado nipo masomoni ila likizo hii ya Corona ndio nimeingia kupiga hizo biashara. Mpaka sasa nina kama mwezi na cku nikiwa nafanya hiyo biashara ila naona dira kabsa.

Mwanzo nilikuwa naogopa sana ila saiv nimezoea sasa na faida ninayoipata nawekeza katika vitega uchumi vingine kama ufugaji ila msimu wa kulima ukianza najua nitakuwa na mtaji wa kutosha wa kukodi shamba na kulima.

Vijana wenzangu niwambie tu ukweli kuwa tanzania bado fursa zipo mie hii kauli nilikuaga napingana nayo sana ila baada ya kuanza kuingiza pesa kwa sh 7000 kama mtaji na napata kuanzia 5000 kwa cku saiv ata naandika hapa nikiwa na furaha kabsaaaaa. Kama leo niwambie ukweli nilitumia 13,000 nikaingiza faida ya Tsh 10,800 tena ndani ya saa 6 nilikuwa nimerudi home nikaanza kulisha kuku wanguuuuu.

Tujitume vijana mie nilikuaga n wa kulaumu hata ukifatilia nyuzi zangu nyingi ila saiv mpaka rahaaa.
 
Funguka mzee baba, vijana tumetega sikio

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu upo mkoa gani?
 

Nakuhusudu sana mkuu
 

Mkuu upo vizuri kwenye hiyo biashara
 
Huna lolote dogo
kipindi hiki tulia home huku ukiendelea kupitia notsi usijesahau masomo
 
Mimi ya kwangu tigo haijawahi kuvuka 200k voda ndio kabisaa 70k Ofisi zako zipo maeneo gani mkuu?

Kuna jamaa yangu anaofisi yake moja anapiga kazi hadi kaweka madirisha matatu kama bank,mlinzi,n.k

mkuu naomba kujua mawili matatu kuhusu hiyo biashara.

Je kamishen unapata unapotuma hela tu au na unapotoa pia?

Je hela kama hiyo 200k unaipata kwa kupitia miamala kama mingapi kimakisio au ungeniambia jinsi ya hizo kamishen unavyozipata mfano kuanzia 1000 - 100000 unapata ngapi na kuendelea
 

mkuu unaweza twambia malipo ya kamishen yanakuaje kwa muamala mmoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…