Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Wakuu kama kuna mtu anahitaji maelezo anaweza kunicheki kwa muda wake ila sema kweli, hii comment yangu imezua maswali mengi kwa baadhi ya wadau.

Ila niwahakikishie kuwa pesa ipo kama ukiamua kuisaka. Mimi nilikuwa mtu wa kulaumu sana na kuona aibu kufanya baadhi ya kazi kwan waliokuwa wanazifanya walionekana kama watu wa chini sana. Hata ukiangalia mavazi yao n ya ajabu ajabu kwa wengi wao. Ila nikajaribu kazi moja wapo. Kweli kabsa sijajuta make naona malengo zangu naanza kuzipatia njia. Nifanya kwa mtaji mdogo sana yani kuanzia 6000 mpaka 20000 tu napata faida ya mpaka 15000 kwa siku. Afu ni kwa masaa tyu. Kufikia saa 7 mchana unakuta nipo getto navuta pumzi tu. Saiv nimeanzisha na mradi wa kufuga kuku japo nimeanza kwa mtaji mdogo but baada ya muda nitaongeza.

Vijana wenzangu hasa wa maisha ya kawaida naomba tusichague kazi. Biasha haihitaji mtaji mkubwa sana but utayari wako na juhudi zako.
Naomba nije dm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatukuombei majanga.
1.jamaa uliyempata ana malemgo yake.
2. Mshukuru Mungu.
3. Usiongeze boda boda nyingi kwa wakati mmoja
Mkataba ni makabiziano tu kwamba umemkabizi dereva pikipki, kila siku ataleta kiasi fulani basi

Pikipiki anashinda na kulala nayo kama yake vile
Service ikitokea mnakutana mnarekebisha, kila baada ya siku 7 mnabadili oil na hapo ndio unapata wasaa wa kuikagua pikipiki pia

Kinachosumbua ni kwamba mtu akiwa na pikipiki anataka apewe hesabu na bado anataka amtumie dereva kwenye shughuli zake au atumie pikipiki yake

Ishi kiboss ukiamua ni pikipiki ya biashara acha ipige biashara

Mwagika mzee utasaidia wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba tatzo cyo kumwagika ila mko tayari? Je, ktk mazingira yenu mlipo mnaona hizo fursa na mtakubaliana na macho ya watu? Mi mpaka saiv najiuliza kuwa kwann sikuanza zamani japokuwa bado nipo masomoni ila likizo hii ya Corona ndio nimeingia kupiga hizo biashara. Mpaka sasa nina kama mwezi na cku nikiwa nafanya hiyo biashara ila naona dira kabsa.

Mwanzo nilikuwa naogopa sana ila saiv nimezoea sasa na faida ninayoipata nawekeza katika vitega uchumi vingine kama ufugaji ila msimu wa kulima ukianza najua nitakuwa na mtaji wa kutosha wa kukodi shamba na kulima.

Vijana wenzangu niwambie tu ukweli kuwa tanzania bado fursa zipo mie hii kauli nilikuaga napingana nayo sana ila baada ya kuanza kuingiza pesa kwa sh 7000 kama mtaji na napata kuanzia 5000 kwa cku saiv ata naandika hapa nikiwa na furaha kabsaaaaa. Kama leo niwambie ukweli nilitumia 13,000 nikaingiza faida ya Tsh 10,800 tena ndani ya saa 6 nilikuwa nimerudi home nikaanza kulisha kuku wanguuuuu.

Tujitume vijana mie nilikuaga n wa kulaumu hata ukifatilia nyuzi zangu nyingi ila saiv mpaka rahaaa.
 
Funguka mzee baba, vijana tumetega sikio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Ongeza Na Ujuzi Wa Laptop
Kwa Siku utalala Na 200k

Mimi Nipo Huku Mkoan Napata Hadi 200k Per Day Nafanya Computer Na Simu

Sema Nina Vifaa Haswaa Ofisi Yangu Kam Mahabara Nina Mpak Microscope Nilinunua Ebay 1.2M Mpaka NIpata.

Now Nipo Namalizia Kupaua Ndugu.

WOTE MSIO NA AJIRA LAKIN UNAPENDA ELECTRONICS KOMAA NA COMPUTER AND PHONE REPAIR UTANIKUMBUKA

UPDATES:

Watu wananifuata PM Wananiuliza Watajifunzaje, Jamani Hivi Vitu Ni Practical Sana, Unahitaji Basic Knowledge Tu.

Na Yote Ipo Kwenye INTERNET Sijawahi Kufundishwa na Mtu Kuhusu Electronics Au Software Za Simu Na Laptop
Ni Kujifunza Then Unharibu Unasimama Mpaka Mwisho

Nilishazima Simu Kama 20 Za Watu, Ni Kweli Lakini Huwez Amin Kipind Hicho Nilijifunza Sana.

USIOGOPE, JITOE ANZA KUJIFUNZA.

Pita Hapa Upate Mwangaza Kidogo

Mkuu upo mkoa gani?
 
Katika biashara zote zilizotajwa na zitakazotajwa hapa kuna kitu unatakiwa ukitambue na ukielewe

Hutoona biashara yenye link na TRA yani kwa ufupi hizi biashara tunasema zikae local local ili kuepusha

macho/vijicho TRA ukitaka kujiweka ki smart smart unataka kufanya vitu ki professional Asee ndugu yangu

ukifungua ofisi leo humalizi WIKI utawaona wajomba TRA hawa hapa,humalizi wiki utawaona tena wengine wamefata

ki karatasi cha service levy sijui,hujakaa vizuri utamuona bwana AFYA mara paap unashangaa mwaka unaisha wewe ni

unacheza tu rede na serikali,ukiambiwa ofisi iweke in locla way sio kwamba watu hawataki ukae ofisi nzuri La hasha

ila unaepushwa na mkono wa MAGUFULI.

Ujanja wangu wote wa kufata TIN no. na LESENI ilikuaga kwa lengo la kupata LAINI za uwakala zenye MAJINA YANGU

Baada ya kuzipata zile laini TIN NO nikaficha,leseni ficha nipo nadunda na kitambulisho cha MACHINGA

Usije ukajiloga ukaeka mbwembwe ofisi yako jinsi unavyoiremba ndio ukae ukijua TRA nao ndio wanaona Pale pesa ipo.

Nakuhusudu sana mkuu
 
Utakuwa umepatia sana. Chamsingi zingatia sana privacy za wateja wako.

Guest zinaingiza hela nzuri zaidi kwa wateja wa short time kuliko wale wa kulala.
Short time hawatumii umeme mwingi na maji sana, mathalani kama uko kwenye mzunguko wa watu wengi kuna uwezekano chumba kimoja kikahudumia watu mpaka wanne kwa siku moja.

Mchana wateja wengi ni wake za watu na wale ambao hawana nafasi za kutoka majumbani usiku hawa privacy yao inatakiwa kuwa ya hali ya juu sana.
1 usiruhusu ujinga wa mtu kuja kufanya fumanizi
2 usiruhusu mlundikano wa watu wasioeleweka eleweka eneo husika

3 Hakikisha main entry na back door kwa wale wanaotaka strict privacy.

4 Hakikisha una vyumba walau viwili mtu anaweza ingia na asionekane kwa wenye vyumba vingine.

Mkuu upo vizuri kwenye hiyo biashara
 
Mzee baba tatzo cyo kumwagika ila mko tayari? Je, ktk mazingira yenu mlipo mnaona hizo fursa na mtakubaliana na macho ya watu? Mi mpaka saiv najiuliza kuwa kwann sikuanza zamani japokuwa bado nipo masomoni ila likizo hii ya Corona ndio nimeingia kupiga hizo biashara. Mpaka sasa nina kama mwezi na cku nikiwa nafanya hiyo biashara ila naona dira kabsa.

Mwanzo nilikuwa naogopa sana ila saiv nimezoea sasa na faida ninayoipata nawekeza katika vitega uchumi vingine kama ufugaji ila msimu wa kulima ukianza najua nitakuwa na mtaji wa kutosha wa kukodi shamba na kulima.

Vijana wenzangu niwambie tu ukweli kuwa tanzania bado fursa zipo mie hii kauli nilikuaga napingana nayo sana ila baada ya kuanza kuingiza pesa kwa sh 7000 kama mtaji na napata kuanzia 5000 kwa cku saiv ata naandika hapa nikiwa na furaha kabsaaaaa. Kama leo niwambie ukweli nilitumia 13,000 nikaingiza faida ya Tsh 10,800 tena ndani ya saa 6 nilikuwa nimerudi home nikaanza kulisha kuku wanguuuuu.

Tujitume vijana mie nilikuaga n wa kulaumu hata ukifatilia nyuzi zangu nyingi ila saiv mpaka rahaaa.
Huna lolote dogo
kipindi hiki tulia home huku ukiendelea kupitia notsi usijesahau masomo
 
Mimi ya kwangu tigo haijawahi kuvuka 200k voda ndio kabisaa 70k Ofisi zako zipo maeneo gani mkuu?

Kuna jamaa yangu anaofisi yake moja anapiga kazi hadi kaweka madirisha matatu kama bank,mlinzi,n.k

mkuu naomba kujua mawili matatu kuhusu hiyo biashara.

Je kamishen unapata unapotuma hela tu au na unapotoa pia?

Je hela kama hiyo 200k unaipata kwa kupitia miamala kama mingapi kimakisio au ungeniambia jinsi ya hizo kamishen unavyozipata mfano kuanzia 1000 - 100000 unapata ngapi na kuendelea
 
Biashara hii haingalii wingi wa fedha ulizo nazo, inategemea sana mzunguko wa fedha kwa eneo husika. Kuwa na fedha nyingi kunakupa faida ya ziada kwa maana hakuna hela ya mteja utakayoikosa na kingine miamala ya fedha nyingi ndio yenye commission kubwa.

Kila ofisi yangu moja nimeweka 8m.

mkuu unaweza twambia malipo ya kamishen yanakuaje kwa muamala mmoja?
 
Back
Top Bottom