Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

mkuu cha msingi weka iyo business idea hapa wenye kuchukua wachukue wenye kuacha waache
 
Mie nimeenda mpk kumuomba inboxx nmeambulia patupuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nitachangia kwa namna ama nyingine biashala ambazo nimwahi kuzifanya na zikanitoa.Miaka miwili nyuma nilianza na biashala ya utumbo kipindi hicho nilikuwa nanunua utumbo wote ule mchanganyiko kwa elfu 48 unakuwa na na kilo 25 hadi 30 nilikuwa nauza kilo 3500 maeneo yaliyochangamka nilikua pale kipunguni b na nilikua nauza unauza mpk saa sita umeisha hiyo ni moja ya biashala ambayo kwa namna moja ama nyingine imenitoa kikubwa usikate tamaa tu
 
Duh...kumbe utumbo wa ngombe mmoja unakilo nyingi hivi? Au ni utumbo wa ngmb wengi mkuu! Hongera sana mkuu...jumamos utumbo nimenunua 4000! Nilichoka mimi maana last tym ulikua 2000!
 
Ila kama kijana unatamani mafanikio ni vyema kama upo dar nenda kule pembezoni mwa mji unaweza kufungua biashala hata ya Nyama za kuku na ukajikuta kwa siku unakunja sh elfu 20 mana sisi ndio fulsa ambazo tuliziona na ni baada ya kusota sana halafu biashala ya mtaji wa sh elfu ukajikuta inakutoa ndio maajabu ya biashala
 
Duh...kumbe utumbo wa ngombe mmoja unakilo nyingi hivi? Au ni utumbo wa ngmb wengi mkuu! Hongera sana mkuu...jumamos utumbo nimenunua 4000! Nilichoka mimi maana last tym ulikua 2000!
Kule machinjioni unakuta jamaa mwingine kaulundika baada ya kuchinjisha Ngombe wake hivyo anakuuzia wote kwa jumla unakua full kuanzia kitabu nk upo aina 3 unazikuta zote kwa namna moja huwa unalipa sana sema watu wengi huwa hawajui
 
Ohoo...kwahyo wewe kwa kilo ni kama ulikua unanunua kwa shngap mkuu!
 
Hii ndo maana halisi ya kutoka kwenye zone uliyoizoea!safi sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…