Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Ndio biashara yangu kwa sasa namshukuru Mungu kwa muda mfupi nimeona nuru, kwa sasa nipo mapumziko nimechia mfanyakazi anapambana , kuanzia march Mungu akitupatia uzima narudi kivingine kabisa , kuanzia uandaaji mpka kutafuta oda ,
Hongera sana mkuu ukizingatia usafi utafika mbali sana.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Rudi Taratibu Kweny Game, Demand Ya Mafund Real Bado Kubwa Mtaani.
 
Wakuu nina biashara ya Chakula naiuza iko maeneo ya Chuo ,Nahamia makao makuu ya Nchi ....kwa mawasiliano zaidi check no. +255712971112
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji3578][emoji3578]
 
Unafanyia Arusha sehemu gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…