Regent
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 2,306
- 3,569
Matunda siyanalipa Mzee mbona unayaacha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matunda siyanalipa Mzee mbona unayaacha
Hongera sana mkuu ukizingatia usafi utafika mbali sana.Ndio biashara yangu kwa sasa namshukuru Mungu kwa muda mfupi nimeona nuru, kwa sasa nipo mapumziko nimechia mfanyakazi anapambana , kuanzia march Mungu akitupatia uzima narudi kivingine kabisa , kuanzia uandaaji mpka kutafuta oda ,
Mkuu sijaacha bado napiga ..ila tunangalia mbele zaidi..nu biashara nzuri kwa kwelimatunda siyanalipa Mzee mbona unayaacha
Awww...nakufurahiaga tu ulivyo easy taker...barikiwa mamy..tutembeleaneUlikuwa mtu mwema sana my Dia, miss you
Madam naomba futa replies zako kule mods naona wajafanya nilivyotaka kama inanichoresha So nataka Aim ya uzi irudiAwww...nakufurahiaga tu ulivyo easy taker...barikiwa mamy..tutembeleane
Rudi Taratibu Kweny Game, Demand Ya Mafund Real Bado Kubwa Mtaani.Nimekuelewa mku, me pia nilikuwa fundi wa computer mzuri tu, nikachukuliwa na kampuni furani kufanya kazi ila badaye wakanidhurumu malipo yangu ya mwaka mzima, nilipodai zaidi wakasema lete mikataba, na nilifanya kazi kilafiki tu sikuwa na mikataba, nilipotea mazima kwenye fani hiyo nikabadiri kazi
Ngoja nijipange kwa kukusanya vifaa kiongoziRudi Taratibu Kweny Game, Demand Ya Mafund Real Bado Kubwa Mtaani.
Awww...nakufurahiaga tu ulivyo easy taker...barikiwa mamy..tutembeleane
Oops...hayaNimerudi Arusha mai, namba yako bado ninayo, ntakutafuta tu siku moja tuongee, Asante
Wakuu nina biashara ya Chakula naiuza iko maeneo ya Chuo ,Nahamia makao makuu ya Nchi ....kwa mawasiliano zaidi check no. +255712971112
Nahitaji label na logo nichekiUkihitaji na lebo za bidhaa tuwasiliane mkuu
Nahitaji label na logo nicheki
0623953036 whatsapp
Sent from my SM-M315F using JamiiForums mobile app
Ni ndani ya chuo
Hebu jazia nyama vizuri mkuu. Chuo gani na bei ganiWakuu nina biashara ya Chakula naiuza iko maeneo ya Chuo ,Nahamia makao makuu ya Nchi ....kwa mawasiliano zaidi check no. +255712971112
How to manage a successful business by the richest man in Africa [emoji116][emoji116]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji3578][emoji3578]iko hivi ndugu yangu King999 hao wateja wakuvutiwa na ka ofisi kako kazuriiiiiii sio wengi kama wateja wale waaopenda
ingia sehemu local/kawaida,halafu wateja hao wanaovutiwa na ofisi yako nzuriii wakija ofisini wana mbwe mbwe nyingi
halafu akiingia ofisini kama yupo na demu wake wataishia kunywa SODA 1 na kutoka,(ofisi yako wataifanya kama kfc)
kijiwe cha stori ila hawatokuja ofisini kwako kwasababu kweli wanahitaji walichokifata (wewe mwenyewe unaweza kuwa mfano)
n mara ngapi week end ukitaka kutoka out kwenda sehemu nzuri huwa ukifika kule unaishia kunywa ka juice na maji 1 kubwaaa then unarudi nyumbani??
sehemu local/kawaida ni maalumu kwa wenye shida haswaaa yani ukienda sehemu hiyo unakua kweli "u need service" kama wewe leo umesema umeenda kibanda cha mpesa ukaondoka kwasababu hukudhani kama ana salio...
Unajua kwanin hukuenda pale kwenye kile kibanda??? "wewe sio mteja serious" hukuwa na shida na ile huduma ya pesa kwa haraka ndio mana wewe kwako unaangalia ofisi kuliko Lengo lako linalokupeleka pale.
Mtu kama mimi nikiwa nahitaji pesa huwa sijali ofisi ya mtu ikoje as long as kachora MPESA mimi naendaaaa,yule jamaaa wa kibanda cha mpesa ametulenga wateja sisi (mimi) na si wateja wewe maanaa wateja wewe huwa mnaenda ma ofisi ya watu badala ya kufata kilichowapeleka mnaanza angalia ofisi za watu wamekalia nini,wamevaa nni,nk
wateja sisi (mimi) ndio wengi katika ulimwengu huu kuliko wateja wewe boss King999 maana sisi vi hela vyetu ni kidogo ila tunavitoa kila siku,ila mteja wewe ulikua unataka ukatoe sh.laki 9 ila kuja toa hiyo amount n mpk mwezi ujao,wakati huo sisi wa vi elfu tano tano tunaena ile ofisi daily,kila saaaa ila mteja wewe unatokea mara 1 kwa wiki.
Umeona utofauti hapo sasa mkuuu.
Unafanyia Arusha sehemu ganiMimi nauza matunda kwa siku mauzo hadi 70elfu nikitoa faida hadi 33elfu napata kwa siku. Nacheza mchezo(kibati) watu mia na ishirini, jina moja ni tsh 2000 ivyo nacheza majina matano kila daily ten. Kwenye faida yangu ya 30elfu natowa ten ya mchezo nabakiwa na 20 hivyo kwa mwezi kikosi M na laki sita ..bila makato yeyote maisha yanasonga.
Achilia mbali na trade forex na kuuza mchele.
Baada ya hapo nakuja kuilaumu serikali.