Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Rudi Taratibu Kweny Game, Demand Ya Mafund Real Bado Kubwa Mtaani.
Mkuu kwakuwa upo Mtwara spare /parts za Laptop/dektop unazipata wapi?
Kama ni Dar.

Inachukua muda gani kupata parts mfano kioo cha Laptop, keyboard n.k na kmfungia mteja na kukamilisha kazi yake.

Na je gharama si zinakuwa kubwa kwa mteja kutokana na umbali wa kupata vifaa?
 
Nasubiri majibu
 
Wakuu nina biashara ya Chakula naiuza iko maeneo ya Chuo ,Nahamia makao makuu ya Nchi ....kwa mawasiliano zaidi check no. +255712971112
Iko vizuri lakini au ndio ishapigwa matunguli na waja πŸ˜πŸ˜›πŸ˜›
 
wadau ivi nikweli asilimia kubwa ya smart tv na deki zetu hizi huwa hazina uwezo wa kusoma flash ya uwezo wa 64gb kwenda juu?
note: flash ambazo ni ORIGINAL.
mana nimetest kuanzia 8gb mpaka 32gb zinasoma ila 64gb ,128gb chenga ila kwenye subwoofer mp3 zinasoma.
mwenye kujua kiundani kuhusu hili wadau?
 
Kwa style hii utajikuta una mafriji, ma TV ma rice cooker 😝😝😝 yani inakuwa vagarant
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…