Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

wanatoa asilimia fulani kwa mwaka kwa pesa unayoweka kwao ama hawatoi kabisa?
Pale unanunua vipande. (Units) ambazo unaweza kununua kutoka mifuko mbali mbali. Uzuri ni kwamba huwa vinapanda thamani. Ninachopenda ni kuwa ukihitaji fedha sio rahisi kuichukua utahitaji kuuza vipande ambayo itachukua wiki moja. Unaweza kupata tasrifa zao kupitia mitandao ya kijamii, au kufika ofisi yao iliyopo sukari house posta. UTT AMIS.
Uzuri mwingine unaweza kuweka kwa njia mbali mbali. Napiga picha kipeperushi ukione
 
Kwa hiyo kuna kupata na kukosa? Au investment ina kupata tu hiyo ka vile zile interest za bank ukiweka fixed?
 
Usiishie kufuatilia tu acha kazi ujiajiri ufanye kwa vitendo [emoji13][emoji13][emoji13]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Kwamba aanze sasa kuyafanyia kazi hayo madini ....
 
Hii iko nje ya mada. Nenda uzi husika
 
Namna ya kuuongeza. Toa asilimia kumi kila mwezi fungua akauti UTT AMIS weka pale. Ukiweka isahau. Fanya kama umenunua kiatu, au mchele ukala. Baada ya mwaka mmoja nitafute nitakwambia cha kufanya.
Naomba kueleweshwa ipi ni nzuri kati ya jikimu, wekeza na ukwasi??
 
Kwa hiyo kuna kupata na kukosa? Au investment ina kupata tu hiyo ka vile zile interest za bank ukiweka fixed?
Utasoma ripoti ya mwenendo wa vipande kwa zaidi ya miaka mitano na kujiridhisha kama thamani yake inapanda, inashuka au iko stable. Hii ni tofauti sana na kununua share kwenye soko la hisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…