mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Costa 1 unajua inagharimu sh.ngapi boss?
Unamiliki mende au costa 3?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamiliki mende au costa 3?
Ni mkoani my dearDuh hongera ..kwa faida hii nadhan ni dar mikoani kupati faida km hyo kbs!haipogo
Hivi ukiweka car tracking system bado dereva atakuibia sana? maana siku hizi zipo car tracking system za bei nafuu na simbplemkuu kuwekeza 10m kwenye uber au 7m kwenye bajaji then ukawa unakusanya 20k to 30k kwa siku huo ni udhaifu wa akili labda kama unaendesha mwenyewe, kwa mtaji huo mimi nakusanya zaidi ya 150k mpaka 300k per day kama faida
Naagiza kutoka DarBalo zako waagiza kutoka wapi mkuu?
hizi biashara za usafiri mara nyingi huwa ni za makubaliano kama ni bajaji inaeleweka hata dereva akipata 200k per day wewe atakupa hesabu yako 20k tu, na uber nao vilevile hata akipata 300k yeye atakupa 35k tu per day kama hesabu yako kama bossHivi ukiweka car tracking system bado dereva atakuibia sana? maana siku hizi zipo car tracking system za bei nafuu na simbple
Mzee baba huu ni ukweli mchungu.huwa siogopi kumshirikisha mtanzania mawazo yangu maaana najua wengi ni waskilizaji sio watendaji
so nafungukaga tu hata siogopi maana najua wanajua kuitikia wameelewa ila hawataki kuingia ktk utendaji
wengi ni waoga na wachagua fursa.
hizi biashara za usafiri mara nyingi huwa ni za makubaliano kama ni bajaji inaeleweka hata dereva akipata 200k per day wewe atakupa hesabu yako 20k tu, na uber nao vilevile hata akipata 300k yeye atakupa 35k tu per day kama hesabu yako kama boss
Uncle nisaidie kufafanua maelezo yako ya mwanzo hapo kidgo
Hiyo ya mikokoteni iko vizuri zaidi
Hivi mkokoteni mmoja unaweza kugharimu pesa kiasi gani mpaka kukamilika(matengenezo)
Juzi nimepiga helaBetting ni noma ila kama unapresha hii kitu si yakujaribu
Hahaha hongera. Ulipiga mpunga wa bei gani?Juzi nimepiga hela
Bila samahani mkuuMkuu naomba nikuulize unaweza kufanya biashara na kitambulisho cha mmchanga na huku una TIN number? Au unaandika barua ya kuifunga TIN na leseni ili udunde na kitambulisho cha mmchanginga? Nasubiri jibu mkuu kama hutajali.
Nmemaanisha consuming products mkuu kama pipi, dawa za meno, mafuta ya kupaka, nido nk..
kuna bro alikuwa anafanya kazi company moja ya uuzaji walipomtimua alianza kuchukua mzigo k/koo anazungusha kwenye maduka ya mtaani.. 50k-100k+ per day ilikuwa kawaida sema wa bongo hatupendi ku'take risk alipaka kazi tena akaajiriwa
vizuri kabisa mkuuuThanks mkuu na je unaweza kutumia kitambulisho cha mmchinga wakati una frem, yaani una room ya duka?