Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

mkuu kuwekeza 10m kwenye uber au 7m kwenye bajaji then ukawa unakusanya 20k to 30k kwa siku huo ni udhaifu wa akili labda kama unaendesha mwenyewe, kwa mtaji huo mimi nakusanya zaidi ya 150k mpaka 300k per day kama faida
Hivi ukiweka car tracking system bado dereva atakuibia sana? maana siku hizi zipo car tracking system za bei nafuu na simbple
 
Hivi ukiweka car tracking system bado dereva atakuibia sana? maana siku hizi zipo car tracking system za bei nafuu na simbple
hizi biashara za usafiri mara nyingi huwa ni za makubaliano kama ni bajaji inaeleweka hata dereva akipata 200k per day wewe atakupa hesabu yako 20k tu, na uber nao vilevile hata akipata 300k yeye atakupa 35k tu per day kama hesabu yako kama boss
 
Hii biashara yako nimeipenda, mkuu ngurue ulikuwa unawapata wapi? Je unachinja tayari ukiwa na order au unachunja na kuhifadhi nyama?@cognition,
 
hizi biashara za usafiri mara nyingi huwa ni za makubaliano kama ni bajaji inaeleweka hata dereva akipata 200k per day wewe atakupa hesabu yako 20k tu, na uber nao vilevile hata akipata 300k yeye atakupa 35k tu per day kama hesabu yako kama boss

Kwa hiyo ukitaka faida kubwa weka makaratasi kabatini (degree) uingie mwenyewe mzigoni
 
CONTROLA,
Mkuu naomba nikuulize unaweza kufanya biashara na kitambulisho cha mmchanga na huku una TIN number? Au unaandika barua ya kuifunga TIN na leseni ili udunde na kitambulisho cha mmchanginga? Nasubiri jibu mkuu kama hutajali.
 
Popcorn asee.

Tafuta mashine ya popcorn, hukosi 30 kila siku.
 
Mkuu naomba nikuulize unaweza kufanya biashara na kitambulisho cha mmchanga na huku una TIN number? Au unaandika barua ya kuifunga TIN na leseni ili udunde na kitambulisho cha mmchanginga? Nasubiri jibu mkuu kama hutajali.
Bila samahani mkuu

Unaenda TRA unawambia biashara uliokua unaifanya umefilisika so umefunga unatafuta mtaji upya

Wataaangalia kama wanakudai utalipia viporo vyako then TIN inasimama

ukirudi huku unaendelea na kazi zako ka kutumia kitambulisho cha machinga

Kama ulikua unaduka kubwa itabidi ulipunguze uwape vijana wakatembeze vitu kama machinga

ili duka libaki kiduchuuu na kamtaji kanakoonekana kanasua sua

Usijaze tena duka (hii inategemea ni biashar gani ulikua unafanya)
 
CONTROLA,
Thanks mkuu na je unaweza kutumia kitambulisho cha mmchinga wakati una frem, yaani una room ya duka?
 
Kuna watu wanaifanya hii vijijini, hasameneo ya Kibiti, Rufiji na Kilwa. Hununua vitu vidogo vidogo kama pipi, nyembe, vitana, panadol za Tz zile za Shelys, mafuta ya kupaka, leso (handkarchiefs), miswaki, dawa za meno, anafunga furushi kubwa kwenye boda boda. Akiingia vijijini huko hakosi laki 2 in two days.
Nmemaanisha consuming products mkuu kama pipi, dawa za meno, mafuta ya kupaka, nido nk..

kuna bro alikuwa anafanya kazi company moja ya uuzaji walipomtimua alianza kuchukua mzigo k/koo anazungusha kwenye maduka ya mtaani.. 50k-100k+ per day ilikuwa kawaida sema wa bongo hatupendi ku'take risk alipaka kazi tena akaajiriwa
 
Thanks mkuu na je unaweza kutumia kitambulisho cha mmchinga wakati una frem, yaani una room ya duka?
vizuri kabisa mkuuu

kile kitambulisho kipo kufata MTAJI wako tu

hakipo kufata unafanya wapi biashara yako

hata ukienda mlimani city kukodi frem ila mtaji ni chini ya 4M

kulingana na FATHER HOUSE wewe tuna ku consider kama Chinga

Point ya msingi ukiwa kwenye frem vitakuja siku vianafunzi vya CHUO (TRA hao)

hao ndio wanajitia wanajua sheria sana hao ndio unatakiwa uwakimbize kama Zakaria alivyowakimbiza TISS

yani usipigwe mkwara na TRA uchwara kama unajiamini mtaji wako ni below 4M
 
Back
Top Bottom