Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

30000/= ni nyingi ikiwa hujaipata lkn sio nyingi kma inavyoonekana. Kwa mwezi 900000/= sio pesa nyingi ukiweka operational cost za kuendesha kampuni.

Ukiwa kuwa na target market nzuri na ukaweza kuwa na strategy ya kudai nzuri isio leta migogoro mingi chance yako ya kupata profit nzuri ni kubwa. Kwa capital ya 10m hutakoswa 1.5 m kwa mwezi,ni pesa si nyingi lkn in the long run miaka miwili mitatu ukiibajeti vizuri utakuwa mbali sana.

Kwenye biashara kupata faida sio tatizo ila ugumu ni kuipata hiyo faida kwa mda mrefu maybe miaka miwili mpk mitano. Kwenye micro credit hilo linawezekana tena vizuri tu. Muhimu zaidi ni policy yako isiwe ya kuumiza mteja lkn bado iku nufaishe

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Usijali kuhusu taratibu wanaosajili wapo na utasajili ndani ya mda mfupi tu. Waza kuhusu policy na capital, ukitatua hizo shida mbili umefanikiwa. Sera ya ukopeshaji ndipo ulipo mtihani mzito sana kwa tunaofanya hii biashara. Unalenga kumkopesha nani na kwa utaratibu gani ,ukiweza kutatua hilo swali una 50% rate ya mafanikio then uje na strategy nzuri ya kudai madeni umemaliza.

Changamoto zipo nyingi lkn kubwa ni namna nzuri ya kudai wateja wasumbufu . Hilo ukilitatua miaka miwili au mitatu utaweza Ku double pesa yako mara 15 pamoja na expense zote . That is milioni 150 ndani ya miaka mitatu

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Hi micro credit ya mtaji wa milioni 10 imesajiliwa au ni ile ya kienyeji

Nilichowahi kusikia mimi ni kwamba inatakiwa kuwa na angalau milioni 50 kuanzisha biashara hiyo
Biashara ya micro credit ,iko vizuri na inaweza kukulipa vizuri lkn uwe na not less than 10m. Kama kujitolea niko tayari kumpa mtu moja experience na payout yake.
Nimeifanya biashara nyingi lkn hii ni the best kwangu hakuna biashara nzuri kma hii

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Usijali kuhusu taratibu wanaosajili wapo na utasajili ndani ya mda mfupi tu. Waza kuhusu policy na capital, ukitatua hizo shida mbili umefanikiwa. Sera ya ukopeshaji ndipo ulipo mtihani mzito sana kwa tunaofanya hii biashara. Unalenga kumkopesha nani na kwa utaratibu gani ,ukiweza kutatua hilo swali una 50% rate ya mafanikio then uje na strategy nzuri ya kudai madeni umemaliza.
Changamoto zipo nyingi lkn kubwa ni namna nzuri ya kudai wateja wasumbufu . Hilo ukilitatua miaka miwili au mitatu utaweza Ku double pesa yako mara 15 pamoja na expense zote . That is milioni 150 ndani ya miaka mitatu

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Thanks kwa majibu mazuri.
Je, target kubwa hapa wawe wafanyakazi wa serikali au wafanyabiashara ndogo ndogo. Kwa uzoefu wako, kundi lipi halina changamoto sana?
 
Kama unataka mtaji wa 30k-50k means kwa mwezi unakusanya 900k-1.5M
Basi jua iyo biashara ni kubwa inahitaji capital ya kuanzia 5M-10M na kuendelea

Kumbuka pikipiki kama boda boda na bajaji zinauzwa bei mkasi sana mfano boda boda 2.5M na wanarejesha kila siku 8000-10,000
Hivyo hivyo Bajaji inauzwa 7M wanarejesha kila siku 15,000-18,000

Uber yaani gari kama IST au tufanye vitz inacost approximatel 9M-13M
Wanarejesha 25k-30k

Hivyo unaweza ukachanganua ulicho nacho mfukoni kwako utaelewa iyo faida ya kila siku 30-50 unahitaji kuweka pesa kiasi gani

Na log out
Hii ishu ya bajaji naona ipo poa sana kama utanunua na kuendesha mwenyewe. Nadhan hapo huwezi kukosa 30k

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Usijali kuhusu taratibu wanaosajili wapo na utasajili ndani ya mda mfupi tu. Waza kuhusu policy na capital, ukitatua hizo shida mbili umefanikiwa. Sera ya ukopeshaji ndipo ulipo mtihani mzito sana kwa tunaofanya hii biashara. Unalenga kumkopesha nani na kwa utaratibu gani ,ukiweza kutatua hilo swali una 50% rate ya mafanikio then uje na strategy nzuri ya kudai madeni umemaliza.
Changamoto zipo nyingi lkn kubwa ni namna nzuri ya kudai wateja wasumbufu . Hilo ukilitatua miaka miwili au mitatu utaweza Ku double pesa yako mara 15 pamoja na expense zote . That is milioni 150 ndani ya miaka mitatu

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Mimi naona strategy nzuri n mkopaji kueeka bond mali yake yenye thaman mara mbili ya mkopo mfano akikopa laki moja basi aweke bond mali yenye thamani ya laki mbili. na kwny mkataba naand8ka kabisa ukifika mda afu ww hujalipa deni basi nauza mali yako without prior notice ili kufidia deni.
 
Biashara ya kuuza utumbo unaweza kunja elfu 30 kabis kwa siku na biashara unafunga saa nane.

Kwa mtaji usiozidi milioni moja unafanikisha zoezi.

Mahitaji..
mzani mmoja wa laki na nusu..
Banda linatengezwa kwa laki na nusu..
kodi ya eneo unalipa miezi sita, assume 180k...

manunuzi;
utumbo unagharimu maximum laki 1, lakin bei ni elfu 60-80.

Hela ya kula fanya elfu 3.

Nauli kwenda home fanya 1500

Biashara inafanyikia pembeni ya bucha, kilo ya utumbo ni elfu 4-5.

usafiri ni assume elfu 5.

JUMLA KUU: kwa haraka haraka ni LAKI 6.

MAUZO NA FAIDA

Kilo 1 ya utumbo ni Tshs elfu 4 mpaka elfu 5.

kama umebeba mzigo wa kilo 30 na ukauza wote it means

35kg of utumbo×4000Tsh @kg=140,000Tshs. Gross profit.

TUNAONDOA GHARAMA TUPATE KINACHOBAKI.

140,000-100,000=40,000/=

Nauli 5000
Kula 3000
nauli tena 1500
Jumla 9500

Tunatoa tena;
40,000-9500=30,500

Mia 5 natoa naweka kwenye kibubu kila siku

inabaki hio 30,000 cash.

Hii biashara nimeifanyia utafiti kuanzia machinjio ya ng'ombe kule mazizini gogolamboto na nimeongea na wauza utumbo maeneo ya tabata na buguruni, wengi wanasema faida ya elfu 20 mpaka 40 ni kawaida kabisa na biashara huwa hot kipindi cha sikukuu.

CHA MUHIMU UPATE ENEO ZURI.

wakuu mimi sina mtaji ila ningependa kuifanya hii kazi.

atakaependa kunisaidia, karibu. Nipo Dar es salaam
Kabla ya kusaidiwa je, wewe ushapata eneo zuri la kufanya iyo mishe? na ni sehemu gani?
 
Naungaunga mjini mkuu
Wewe ndie mbongo mtanzania halisi... wanasema "Kuliko mbongo akupe ushirikiano, mbinu, fursa au njia ili na wewe ufanikiwe ufike malengo yako ndio kwanza anakukatisha tamaa" ukitoa idea kumsaidia mwingine haimaanishi atakupita kwa mafanikio ulionayo au utafilisika wala...

Dunia ni kubwa sana ndugu yangu na kuna fursa matrilion na matrilion wala hatuwezi kuyamaliza mpaka mtu unarudi kaburini... kuunga unga mjini ndio biashara gani sasa... kama sio majibu ya kihuni na ya kitapeli...

Kuna watu wanafanya biashara kubwa sana kwa mitaji ya mara tano ulionao na wala sio wachoyo wa kukuonyesha njia na wewe ufanikiwe... kwa style hii bongo tupeane Umbeya tu ila deal za maana tuwaachie ngozi nyeupe waje kuzifanya huku huku kwetu sisi tubaki na umbea, majungu, fitina, ushirikina na yanayofanana na hayo...
 
Wewe ndie mbongo mtanzania halisi... wanasema "Kuliko mbongo akupe ushirikiano, mbinu, fursa au njia ili na wewe ufanikiwe ufike malengo yako ndio kwanza anakukatisha tamaa" ukitoa idea kumsaidia mwingine haimaanishi atakupita kwa mafanikio ulionayo au utafilisika wala... Dunia ni kubwa sana ndugu yangu na kuna fursa matrilion na matrilion wala hatuwezi kuyamaliza mpaka mtu unarudi kaburini... kuunga unga mjini ndio biashara gani sasa... kama sio majibu ya kihuni na ya kitapeli... Kuna watu wanafanya biashara kubwa sana kwa mitaji ya mara tano ulionao na wala sio wachoyo wa kukuonyesha njia na wewe ufanikiwe... kwa style hii bongo tupeane Umbeya tu ila deal za maana tuwaachie ngozi nyeupe waje kuzifanya huku huku kwetu sisi tubaki na umbea, majungu, fitina, ushirikina na yanayofanana na hayo...
Mkuu povu limekua jingi sana, hebu fanya kama unajisuuza povu lipungue[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu povu limekua jingi sana,hebu fanya kama unajisuuza povu lipungue[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
60M is just a number anyone can type any number she or he wants... nimekufwatilia sana huko juu husemi unachofanya kila anayekuuliza husemi umefwata nini huku sasa kama sio uchawi wenyewewe huo sasa wa wabongo, au ushambenga tu, waachie watu walioko serious about business and life in general
 
Hahahaaaa....wenye walitaka walishapata mwongozo na hawakuja kwa style kama yako,kila mtu akisema aweke mambo yake humu mbona wengine tutajiona tupo uchi,jaribu kujiongeza mkuu
 
Hahahaaaa....wenye walitaka walishapata mwongozo na hawakuja kwa style kama yako,kila mtu akisema aweke mambo yake humu mbona wengine tutajiona tupo uchi,jaribu kujiongeza mkuu
Kama kitu ni halali kimenyooka hakina shida na wala si haramu kwa serikali, unakaaje uchi kwa mfano? mbona kuna mwamba mmoja huko juu kameza rula na kanyoosha maelezo yeye anauza bangi na imemtoa?

... huku tunachotafuta ni akili za kuambiwa alafu mtu anachanganya na za kwako, anatoka na idea yako wewe mwenyewe... akiamua kukopy idea ya mwingine sio dhambi, maana kila mtu anauwezo wake binafsi wa kuendesha biashara yake.... mfano inawezekana wote tumejipanga tunauza spare ila wateja wakaja duka langu kwa wingi sababu labda nahuduma nzuri, kila spare nayouza namwelekeza mtaja ubora na ubaya wake, kulingana na kipato chake, au nkampa Fundi for free akienda mfungia nakadhalika...

Sasa wewe ndugu yangu unaona huo mtaji wa 60M ndio kama roho ukitoa siri ya kupata 300,000 kwa siku utakufa... hutakufa, wala hakuna atakaeshindana na wewe baba, maana huwez jua mtu yuko wapi au nchi gani na anafanya nini...ila unaskitisha na kukuonea huruma kwa spirit ulionayo, hata nikipima majibu yako naona bado niyakitoto sana bado hujakomaa pia sio kosa lako "WABONGO" ndio tabia yenu
 
Uko wapi..nina jamaa anauza wino (ana import na ku refill hizo toner kwa bei rafiki mno mno mno ) ukitaka wino peke yake pia anakupa ujaze mwenyewe..incase ukihisi utahitaj nijuze nikupe mawasiliano yake
Nimeipenda hii biashara naomba unipe mwongozo nataka niifanye mkoani
 
Uko wapi..nina jamaa anauza wino (ana import na ku refill hizo toner kwa bei rafiki mno mno mno ) ukitaka wino peke yake pia anakupa ujaze mwenyewe..incase ukihisi utahitaj nijuze nikupe mawasiliano yake
Unaweza kunilink na jamaa yako nahitaji aniuzie wino kwa jumla
 
Back
Top Bottom