mapatomgasa
Member
- May 24, 2020
- 13
- 34
30000/= ni nyingi ikiwa hujaipata lkn sio nyingi kma inavyoonekana. Kwa mwezi 900000/= sio pesa nyingi ukiweka operational cost za kuendesha kampuni.
Ukiwa kuwa na target market nzuri na ukaweza kuwa na strategy ya kudai nzuri isio leta migogoro mingi chance yako ya kupata profit nzuri ni kubwa. Kwa capital ya 10m hutakoswa 1.5 m kwa mwezi,ni pesa si nyingi lkn in the long run miaka miwili mitatu ukiibajeti vizuri utakuwa mbali sana.
Kwenye biashara kupata faida sio tatizo ila ugumu ni kuipata hiyo faida kwa mda mrefu maybe miaka miwili mpk mitano. Kwenye micro credit hilo linawezekana tena vizuri tu. Muhimu zaidi ni policy yako isiwe ya kuumiza mteja lkn bado iku nufaishe
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app