Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Members wachache sana wenye Akili kubwa kama Wewe ndiyo tumekuelewa na kukubaliana nawe kwa 100% juu ya haya Maelezo yako ya uhakika juu ya Mjadala uliopo ila kwa Wapumbavu wengi waliopo na wengine nimeona pia Comments zao hawawezi Kukuelewa na naamini Hawajakuelewa pia.Kukasirika ni moja wapo ya sifa za ubinadamu na kiumbe yeyote hai, hasa pale unapo chokoza hisia zake, huwezi kukosa hasira alafu ujiite binadamu. Hata Mungu huwa ana kasirika mtu anapo kengeuka mafundisho yake na ndo maana atatoa adhabu kali kwa wasio mtii.
😔Kama umegundua mojawapo ya mambo hayo yanakukasirisha, basi fahamu kuwa mbele za Mungu unahesabika “mpumbavu.
Okay notedUsiseme natukana watu, soma mpaka mwisho utajua kwanini kichwa cha uzi kimeandikwa hivyo.
Katika mijadala na malumbano ya hoja hapa JF, kuna watu wengi waliojaa hasira vifuani mwao. Wanakasirishwa na maneno au vitendo vidogo vinavyoweza kuepukika.
Yafuatayo ni baadhi ya mambo madogo ambayo mara nyingi humfanya mtu aliyejaa hasira akasirike:
Mambo ni mengi, ongezea na wewe...
- Akiulizwa maswali magumu – Wakati wa mijadala, mtu anaweza kuulizwa maswali yanayohitaji ufafanuzi wa kina au uthibitisho wa madai yake. Badala ya kuchukulia maswali hayo kama fursa ya kueleza hoja yake vizuri, mtu aliyejaa hasira anaweza kuhisi kama anashambuliwa au anawekewa mtego wa kumfanya ashindwe kujibu. Anaweza kuona kama anaonewa, anadharauliwa au kulazimishwa kukiri kuwa uzi wake hauna mashiko
- Akikosolewa uandishi wake – Akikosea kuandika na watu wakalenga tu kuonyesha makosa hayo badala ya hoja yake, anachukia na kukasirika.
- Akitajwa jina au akiona emoji ya kejeli – Emoji kama 😂, 🤦♂️, au 😏 zinaweza kumuudhi sana. Na akitajwa jina lake, anaweza kuona kama vile anapigwa vita moja kwa moja na kwa sababu hiyo anajaa hasira.
- Akipachikwa jina la dharau – Akiitwa majina kama "mjinga," "chawa” au "hater," anapandwa na hasira haraka.
- Akiambiwa akapime afya ya akili – Anaweza kuona kama amedharauliwa au kutiliwa shaka akili yake.
- Akishutumiwa kwa lengo ambalo hana – Mfano, akionekana kama ana ajenda fulani ya siri, anaweza kujihami kwa hasira.
- Ajibiwa tu kwa "OK" au "Sawa" badala ya maelezo marefu – Anaweza kuona kama amepuuzwa au hajaheshimiwa na hivyo anajaa hasira.
- Akishambuliwa na kundi kubwa – Akiona watu kadhaa wanamshambulia kwa mpigo, anaweza kulipuka kwa jazba.
- Akijibiwa kwa “meme” badala ya hoja – Picha za utani zinapotumika kujibu hoja yake anayoiona ya maana, anachukia na kukasirika.
- Akiambiwa "huna pointi" au “hujui unachosema,” – Anakasirika na kuona kama amedhalilishwa.
- Akiambiwa "acha kuandika kwa kukurupuka" – Anakasirika akifikiri wanamaanisha hajui kitu chochote alichoandika.
- Akipewa "reaction" ya kicheko😂 kwenye hoja yake “serious” – Anakasirika kwa kuhisi amefanyiwa mzaha.
- Mada anayoitetea ikipuuzwa – huku nyingine anazoona hazina uzito zikipewa kipaumbele, anakasirika na kuona kama kuna upendeleo.
- “Moderator” au "Content Manager" akiunganisha au kuuhamishia panapostahili uzi wake – Anakasirika na kuhisi kama ananyamazishwa kwa makusudi.
- Akiambiwa amewekwa kwenye “ignore list” – Anakasirika sana na kumchukia huyo aliyemwambia hivyo.
Kama umegundua mojawapo ya mambo hayo yanakukasirisha, basi fahamu kuwa mbele za Mungu unahesabika “mpumbavu.” Biblia inasema: "Usifanye haraka kukasirika rohoni mwako, maana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu."(Mhubiri 7:9).
Tate Mkuu mpokonye simu babe wako.ngoja tukutukane haya maneno wanayotutukana tuone kama utareactije Setfree wewe ni malaya huoshi k yako inanuka nakutoa shomboo , hujui kuoga na pia wewe ni likahaba linalotoa k yako bure na unaandika post kutafuta wanaume wakukulamba tu .
Wewe unanuka kwa maana huogi kwanza wewe ni mpuuzi halafu isitoshe wewe ni maskini kapurwa.
Haya wewe ambaye sio mpumbavu kaa kimya
That's true,maana ni mtazamo tu ambao unaendana na hali ya mda husika,hata bosi ofisni unaweza shangaa anakufokea tena kwa jambo dogo tu,kumbe uenda na ye alifokewa na bosi wake,ni kama vile kiupepo kinapita nyakati fulani.Mtu huyo sio mpumbavu kabisa sababu kukasirika, kufurahi, kupata nyegee, kuhamaki au kushtuka ni kama hali ya hewa tu hivyo mtu yuleyule anaweza kuwa hivi leo kesho akawa wa tofauti. Mpumbavu ni mtu asiyebadilika
Umasikini ni laana!
Umasikini husababisha mtu acheze vikoba
Umasikini husababisha mtu awe na majibu ya hasirahasira
Umasikini humfanya mtu awe wa visirani 🤣🤣
Hivyo basi mtu wa Kariba unaemwongelea sio mpumbavu bali ni hali tu ya hewa ya wakati huo... Siku akitusua atapata utulivu wa akili utashindwa kujua kama ni yeye.
Hata wewe nakutilia shaka yawezekana akili yako sio nzuri kabisa una hasira za hapa na pale.Usiseme natukana watu, soma mpaka mwisho utajua kwanini kichwa cha uzi kimeandikwa hivyo.
Katika mijadala na malumbano ya hoja hapa JF, kuna watu wengi waliojaa hasira vifuani mwao. Wanakasirishwa na maneno au vitendo vidogo vinavyoweza kuepukika.
Yafuatayo ni baadhi ya mambo madogo ambayo mara nyingi humfanya mtu aliyejaa hasira akasirike:
Mambo ni mengi, ongezea na wewe...
- Akiulizwa maswali magumu – Wakati wa mijadala, mtu anaweza kuulizwa maswali yanayohitaji ufafanuzi wa kina au uthibitisho wa madai yake. Badala ya kuchukulia maswali hayo kama fursa ya kueleza hoja yake vizuri, mtu aliyejaa hasira anaweza kuhisi kama anashambuliwa au anawekewa mtego wa kumfanya ashindwe kujibu. Anaweza kuona kama anaonewa, anadharauliwa au kulazimishwa kukiri kuwa uzi wake hauna mashiko
- Akikosolewa uandishi wake – Akikosea kuandika na watu wakalenga tu kuonyesha makosa hayo badala ya hoja yake, anachukia na kukasirika.
- Akitajwa jina au akiona emoji ya kejeli – Emoji kama 😂, 🤦♂️, au 😏 zinaweza kumuudhi sana. Na akitajwa jina lake, anaweza kuona kama vile anapigwa vita moja kwa moja na kwa sababu hiyo anajaa hasira.
- Akipachikwa jina la dharau – Akiitwa majina kama "mjinga," "chawa” au "hater," anapandwa na hasira haraka.
- Akiambiwa akapime afya ya akili – Anaweza kuona kama amedharauliwa au kutiliwa shaka akili yake.
- Akishutumiwa kwa lengo ambalo hana – Mfano, akionekana kama ana ajenda fulani ya siri, anaweza kujihami kwa hasira.
- Ajibiwa tu kwa "OK" au "Sawa" badala ya maelezo marefu – Anaweza kuona kama amepuuzwa au hajaheshimiwa na hivyo anajaa hasira.
- Akishambuliwa na kundi kubwa – Akiona watu kadhaa wanamshambulia kwa mpigo, anaweza kulipuka kwa jazba.
- Akijibiwa kwa “meme” badala ya hoja – Picha za utani zinapotumika kujibu hoja yake anayoiona ya maana, anachukia na kukasirika.
- Akiambiwa "huna pointi" au “hujui unachosema,” – Anakasirika na kuona kama amedhalilishwa.
- Akiambiwa "acha kuandika kwa kukurupuka" – Anakasirika akifikiri wanamaanisha hajui kitu chochote alichoandika.
- Akipewa "reaction" ya kicheko😂 kwenye hoja yake “serious” – Anakasirika kwa kuhisi amefanyiwa mzaha.
- Mada anayoitetea ikipuuzwa – huku nyingine anazoona hazina uzito zikipewa kipaumbele, anakasirika na kuona kama kuna upendeleo.
- “Moderator” au "Content Manager" akiunganisha au kuuhamishia panapostahili uzi wake – Anakasirika na kuhisi kama ananyamazishwa kwa makusudi.
- Akiambiwa amewekwa kwenye “ignore list” – Anakasirika sana na kumchukia huyo aliyemwambia hivyo.
Kama umegundua mojawapo ya mambo hayo yanakukasirisha, basi fahamu kuwa mbele za Mungu unahesabika “mpumbavu.” Biblia inasema: "Usifanye haraka kukasirika rohoni mwako, maana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu."(Mhubiri 7:9).
Ohooh! Nahisi nimechelewa eti! Maana muda huu ndiyo narudi kutoka lindo. Halafu nimekuta kila kitu hapa nyumbani kimevurugika! Babe naye simuoni! Sijui ndiyo amewafuata hao wabaya wake huko waliko ili akawashushie kabisa na kichapo! 😱Tate Mkuu mpokonye simu babe wako.
Babu ilikuaje ukafikiria kutumia hii font? Naona tokea ukiwa kijana unatumia.Ohooh! Nahisi ndiyo narudi kutoka lindo muda huu. Nimekuta kila kitu kimeshaharibika! Babe naye simuoni! Sijui ndiyo amewafuata hao wabaya wake huko waliko ili akawashushie kabisa na kichapo! 😱
Babe babe! Utaniua kwa presha! Haya maneno umeyatoa wapi, na jana tulishinda wote kanisani? 😩ngoja tukutukane haya maneno wanayotutukana tuone kama utareactije Setfree wewe ni malaya huoshi k yako inanuka nakutoa shomboo , hujui kuoga na pia wewe ni likahaba linalotoa k yako bure na unaandika post kutafuta wanaume wakukulamba tu .
Wewe unanuka kwa maana huogi kwanza wewe ni mpuuzi halafu isitoshe wewe ni maskini kapurwa.
Haya wewe ambaye sio mpumbavu kaa kimya
AI noma ila nataka kuleta posa
Umecheka sana ila naleta mshengaChangamsha ubongo. Acha uvivu wa kusoma.
Naleta posaI see