Kama unampenda halafu hurudishiwi upendo njoo tufarijiane 🖤💔

Kama unampenda halafu hurudishiwi upendo njoo tufarijiane 🖤💔

Kwa post hii, tarajia midume kujazana kwenye PM yako nikiwemo Mimi😂

Huu Uzi umekaa kimtego sana
 
Mapenzi ni uwendawazimu. Tatizo mnaingia huko na akili zenu timamu ndo maana mnakuja kulialia hapa. Mwaka 2014 kuna demu wa jamaa yangu wa mkoani aliliwa LIVE tena mchana na mshkaji aliyemsindikiza Kariakoo kununua mzigo wa nguo siku alipokuja Dar. Kilichofanya nikajua ni baada ya mke wa msindikizaji kuzua timbwili baada ya kufuma picha za kimahaba kwenye simu ya jamaa wakiwa chumbani na demu. Mshkaji mkoani akapewa taarifa ila cha kushangaza akaamua kumuuliza manzi wake kama kweli aliliwa na msindikizaji yule manzi kama ilivyo kwa mtuhumiwa mwingine akakanusha tuhuma. Jamaa yangu alikuja kutukasirikia balaa kwamba kwanini tunamsingizia mpenzi wake? Tukamuuliza vipi kuhusu picha za chumbani na demu yuko na chupi na bra? Akajibu eti mpenzi wake alikuwa akijaribisha nguo alizokuwa amenunua. Kwa ufupi jamaa alikuja kumuoa huyo manzi na wapo kwenye ndoa tangu 2015.
 
Mie nipo single Kisa napenda kweli mpenzi wangu halafu yeye harudishi fadhila kwakweli .

Sasa kama upo kama mie njoo tufarijiane halafu kama unahonga hurudishiwi fadhila njoo ufarijike hapa kama unatoa marange, vitu vya kifahari unajikomba halafu urudishiwi fadhila njoo upozee hapa roho
Upendo ni nini?
Unaweza kutafsiri upendo?

Unapatikanaje
 
Upendo ni nini?
Unaweza kutafsiri upendo?

Unapatikanaje
Upendo ni hisia , upendo ni kuamini upendo ni furaha huo ni upendo . Upendo ni uhuru ndio maana hata ukimpata umpendaye ni hiv vitu umeonak kwake
 
Back
Top Bottom