Kama unampenda halafu hurudishiwi upendo njoo tufarijiane 🖤💔

Kama unampenda halafu hurudishiwi upendo njoo tufarijiane 🖤💔

Mie nipo single Kisa napenda kweli mpenzi wangu halafu yeye harudishi fadhila kwakweli .

Sasa kama upo kama mie njoo tufarijiane halafu kama unahonga hurudishiwi fadhila njoo ufarijike hapa kama unatoa marange, vitu vya kifahari unajikomba halafu urudishiwi fadhila njoo upozee hapa roho
Mpende anae kupenda asiekupenda achana nae.
 

Attachments

  • Anayekupenda Pendana Naye ( 352 X 624 ).mp4
    2.2 MB
Kwenye mapenzi siku zote lazima mzani uelemee upande mmoja tu.
 
Siti ya mbele kabisa dirishani upande wa dereva.
Leo nahisi kitanikuta kitu hapa JF🤣😂😆.

Naomba ndugu zangu mninyanganye hii teckno wereva😆😂🤣😬😃
😂😂😂
 
Back
Top Bottom