Kama unasafiri Kilometa zaidi ya 800 kwa basi wewe ni masikini tafuta hela

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Ni mfano wa route za Dar kwenda mikoa ifuatayo, Mwanza, Kagera, Musoma, Kigoma, Mbeya, Ruvuma

Kama huwa unatumia usafiri wa basi kwa mikoa tajwa badi ujue wewe bado unajitafuta, endelea kujitafuta.

Binadamu hatakiwi kusafiri zaidi ya Km 500 kwa basi, ndio maana Simba na Yanga wakienda kucheza Singida lazima walale Dodoma kilazima,hizo ni kanuni za FIFA.

Kwa mtu binafsi kwa umbali wa zaidi ya km 800 ni either upande ndege au utumie private car,unless uwe unafanya utalii wa ndani au for fun

Tafuta hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…